Lowassa: Wakining'oa NEC nitaeleza ukweli kuhusu Richmond

Lowassa: Wakining'oa NEC nitaeleza ukweli kuhusu Richmond

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
8,335
Reaction score
1,459
Mwizi tu huyo naye wote wezi serikali inanuka sijui kina nani huwa wanaipigiaga kura CCM vichwa vyao sijui vikoje na wengi wapo humu JF aaaghhhhhh
 
Lowasa bana, anazeeka vibaya sana; anatuambia kuwa anasiri kubwa ya ukweli wa Richmon, na anajua kuwa tunachokifaham sisi Watanzania wa kawaida kuhusu Richmond ni uwongo wa maksudi!

Kwa kitendo chake cha kuwaficha watanganyika ajue ni kushiriki uhalifu! Tukilegeza kamba huyu jamaa atakuja kuwa raisi wa Tanganyika Miaka michache ijayo, na nina hakika ataendeleza siasa na utendaji wa kulindana kimakundi kama anavyofanya Mkweere! Simwamini hata kidogo huyu mzee.
 
kama anaujua ukweli kwann acseme ukweli muda ule ilipojulikana?alikua anaficha nn?
 
ukweli gani mpya tena zaidi ya aliousema Dr Mwaktembe " hili halita saidia kitu "
 
Wacha wachafuane tu sisi wengine ndo raha kwetu, akitoa siri zote si ndio vizuri jamani au??
 
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.

Chanzo: Tanzania Daima
Ndicho nilichowambia Mkandara hicho,EL kashikilia kwenye kamali...Kutachimbika kama ni kweli,trust me!

Mwakyembe around or not,someone still holds the wild cards.

Kumbuka kulikuwepo na ripoti mbili na Mwakyembe aliitoa ile ya kumchafua EL...
 
Ukweli gani tena? Mbona alikwishasema na kurudia kile anachokijua kwamba Kikwete hawakukutana barabarani? Wahenga waliosema: Nionyeshe rafiki yako, nikuambie tabia yako walikosea?
 
  • Thanks
Reactions: RAU
Kwa namna siasa za Tanzania zilivyo sishangai kusikia hayo!
 
Kwa hiyo ataendelea kuwadanganya watanzania hadi hapo atakapofukuzwa? Ndio kusema akiendelea kubaki CCM ataendelea pia kutudanganya kama wanavyofanya wenzake? Unafiki mkubwa sana!
 
kwenda zako huko yaani huongei ukweli mpaka utakapoukosa ulaji? Nalog off
 
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.

Chanzo: Tanzania Daima

Kama hii ni kweli basi huyu jamaa anazidi kuonyesha jinsi asivyostahili kuwa Rais wa nchi yetu 2015. Yaani kuna madudu yalifanyika kuhusiana na mkataba wa Richmond/Dowans naye anayajua lakini kaamua kutuficha Watanzania miaka yote hii.

Sasa anaona maslahi yake yanataka kuharibika ndio anataka kutueleza nini kilichojiri!!!! Mwalimu aliona mbali sana pale aliposema huyu jamaa hastahili kabisa kuwa Rais wa nchi yetu.
 
Hana ukweli wowote atakaosema. Hiyo tishio tu kwa NEC ili waogope. Na ccm walivyo waoga amini watamwogopa. Kama mzalendo kweli wa nchi nini chamfanya asiseme huo ukweli? Ile ahadi ya ccm "nitasema ukweli daima fitina kwangu mwiko" anaieleweje. Baba tishia nyau waendelee kukuogopa.
 
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.

Chanzo: Tanzania Daima

Ningekuwa Kikwete, ningetumia nafasi hiyo kumngoa kwa sababu maneno yoyote ambayo atasema baada ya hapo yatakuwa na maana mbili. (a) Siyo kiongozi wa kuaminika kwa sababu anajua wizi wa Richmnond lakini anauficha. (b) Maneno yote atakayosema baada ya kufukuzwa NEC yatakuwa ni yale ya mfa maji, na hayatasikilizwa kwa uzito ambao angeyatoa akiwa madarakani.
 
MWIZI TU HUYO NAYE WOTE WEZI SERIKALI INANUKA SIJUI KINA NAI HUWA WANAIPIGIAGA KURA CCM vICHWA VYAO SIJUI VIKOJE NA WENGI WAPO HUMU JF AAAGHHHHHH
kama angekuwa mwizi saa hizi angeshasahaulika kile kinachomfanya aendelee kuwa Lowasa hadi leo ndicho kinachoniaminisha yeye si mwizi bali kule kuachia kwake uwaziri mkuu kulikuwa kwa kujitolea tu. Alijitolea kuumia yeye ili wengine hata kama ni. wachache wapone. Binafsi ninamheshiimu kwa hilo.
 
lowasa hawezi kuongea maneno cheap kiasi hicho...ni mwanasiasa mkomavu sana na ana roho ngumu kwelikweli
 
Back
Top Bottom