Nimepata msamiati mpya, 'dwichi .....'. Kushughulikia mke muhimu, lakini high class people wako mbio kutafuta mali. Kwa lower class kuwa busy na simu kutapunguza reproduction in the near future. Case in hand ni German, population is declining.We wonekana muoga wa ku dwichidwichi...shighulikia mkeo vizur kaka simu kitu gani