Hiyo GPA inasomeka kabisa, Masters unaingia direct kama kumsukuma mlevi, ingekuwa unasema unatafuta Scholarship kwa hiyo GPA hapo ungekuwa na mashaka, maana kwa kuwa resources ni kidogo huwa wanaamua kuweka vigezo mbalimbali kama GPA, Age nk ili kupunguza idadi ya applicant.
Mkuu
donlucchese, apply chuo chochote hapa kwetu unachokipenda kapige shule yako kama una hela yako.