donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #21
Hiyo GPA inasomeka kabisa, Masters unaingia direct kama kumsukuma mlevi, ingekuwa unasema unatafuta Scholarship kwa hiyo GPA hapo ungekuwa na mashaka, maana kwa kuwa resources ni kidogo huwa wanaamua kuweka vigezo mbalimbali kama GPA, Age nk ili kupunguza idadi ya applicant.
Mkuu donlucchese, apply chuo chochote hapa kwetu unachokipenda kapige shule yako kama una hela yako.
Shukrani mkuu, ngoja nifanye mchakato. Asante sana mkuu Lyagwa
Last edited by a moderator: