Ni Mbunge, Waziri au mfanya biashara?Sponsa wa Uwoya ni mtu mzitoooooo!naogopa kumtaja acha ale bata kiukweli mda wake huu!!mji una mambo huuu!!!
Niliisikia hiyo kuwa yuko kwenye kiganja cha mzito.Sponsa wa Uwoya ni mtu mzitoooooo!naogopa kumtaja acha ale bata kiukweli mda wake huu!!mji una mambo huuu!!!
Kigogo wa serikali ya JMT top vigogo waleee.ni mbunge waziri au mfanya biashara?
Hana hata kiwanja Chanika mbwembwe tu anazidiwa mpk na aunty!yaani Uwoyaa balaaaa!ana kismati mnooo anadanga pazuriNiliisikia hiyo kuwa yuko kwenye kiganja cha mzito. Afanye ya maana, isijirudie hadithi ya Wema Sepetu na Clement wa Ikulu.
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao.Hana hata kiwanja Chanika mbwembwe tu anazidiwa mpk na aunty!yaani Uwoyaa balaaaa!ana kismati mnooo anadanga pazuri
Wanavurugwagwa balaa na uchizi juu.Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao. Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta. Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost...
Hudda ana nyumba za kupangisha kadhaa nchini Kenya, hata asipoamka kitandani kwa miezi sita pesa bado inaingia. Hata Lulu anamshinda kwa maarifa.Wanavurugwagwa balaa na uchizi juu
Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa...sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida...ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.
Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza km wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe
Uwoya atakuja kuishia ka wema, anatumia hela vibaya. Hivi ni kweli anatoka na Waziri wa tozo?Kigogo wa serikali ya JMT top vigogo waleee!anampenda kufaaa!Dada anahongwa balaa!ila mashosti wanasikitika hana hata kiwanja!!!!
Ni ujinga kudanga na kutoka na mume wa mtu bila kuweka investment zako za kueleweka huku unahangaika na mapochi and show off tu, wooi mimi siwezi huo ujingaMdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao. Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.
Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.
Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.
Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
Clement wa Ikulu ndio nani tafadhari tujuzaneNiliisikia hiyo kuwa yuko kwenye kiganja cha mzito. Afanye ya maana, isijirudie hadithi ya Wema Sepetu na Clement wa Ikulu.
Duuuh Mh Waziri wa tozoUwoya atakuja kuishia ka wema, papuchi inanyanyasika vibaya ila anatumia hela vibaya, hivi ni kweli anatoka na Waziri wa tozo.
Yule binti mwenye migahawa mnamwitaga sijui Shishi sijui nani na Mobeto pamoja na na kina Jokate, hawa wana akili kuzidi hawa wajinga wasiojielewa kabisa kama wakina Wema na Uwoya.Uwoya atakuja kuishia ka wema, papuchi inanyanyasika vibaya ila anatumia hela vibaya, hivi ni kweli anatoka na Waziri wa tozo.
Niliskia hivo na kusoma ig sasa sijajua ukweli wakeDuuuh Mh Waziri wa tozo
Vera Kwa sasa kapata kijana kamuweka mimba, naona kaamua kuachana na anasa za dunia zimemchoshaWanavurugwagwa balaa na uchizi juu
Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa...sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida...ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.
Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza km wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe