Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hii ndo imeshamir mjin na hata huku mtaan
Yani sio poah na kweli Vera akizaa anaachana
Na jamaa maana sion shuhuli yoyote inayompatia kipato huyo kijana

Vera akizaa atarud kudanga apate
Pesa za kumsomesha mwanae badae


Hii n kama Tu Kwa kina tunda na whoz
Na Hilo haswa ndo lengo la vera
 
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao. Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.
Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.

Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.

Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
Dawa ya wadangaji wasio na mikakati
 
Wewe labda kannua juzi baada ya kuchambwa na mashosti zake,maana walikua wanamcheka yeye na wema kua hawana lolote Wema kwa sasa kaishiwaa kaenda kukaaa mbagala kuuu huko hana lolote na anajutaaa kukata utumbo yaani anajutaa mnoo maana hana soko tena wanaume walikua wanataka manyama nyama,Wakaja kwa Uwoya wakasema muache amwage hela hata kiwanja hana wanaringia nyumba za wazazi wao tu mjini!Yaweza kua amenunua baada ya kuona watu wanamshambulia sana
Wema mjinga wanaume wa bongo wanapenda bonge wenye misabwanda ya haja sasa yeye kajiloga mwenyewe,

Bado uwoya naye ataishia huko huko Yani umaarufu wote tangu early 2005 kuja huku hata banda la kuku hawana wao show off.

Huyo Wema nyumba yenyewe ya mamake ni zile za zamani alishindwa hata ku imodify.

Juzi niliona aristote akimcheka kuwa hana hata hela ya kusuka
 
97% ya wadangaji hawana akili na hata wakiwa na mali, wakishaanza kuchuja wataziuza ili waendelee kumantain status,wakisha choka wanabakia na story ,utawasikia "nimetembea sana ulaya, hizi hotel kubwa kubwa nimemaliza",mfukoni hawana kitu, wanarudi home wakiwapa tabu wazazi wao.

Kuna mdada mmoja Mnyaki, sasa hivi anakunywa gongo ila wanao mjua wanakwambia enzi zake alikuwa kisu tokea yupo Makongo na kumbuka kuna siku sasa tulikua kijiweni kuna brother mmoja enzi zake naye alikuwa mtu wa bata walikuwa wanakutana sana batani, wakakutana na mimi nikiwepo, yaani yule mdada kabakiwa na story kachoka ila still shundu bado lipo.

Basi anajitamba ametembea sana wasanii Daz Nunda, hotel zote hizi kubwa za nyota tano kalala nimetembea na mageneral wa jeshi"

Yaani sasa hivi ukimwona kachoka, ila sijajua imekuaje kuaje kachoka mpaka kaanza kunywa gongo, hata yule brother mwenyewe hajui imekuwaje kuwaje anakunywa gongo.
 
97% ya wadangaji hawana akili na hata wakiwa na mali, wakishaanza kuchuja wataziuza ili waendelee kumantain status,wakisha choka wanabakia na story ,utawasikia "........nimetembea sana ulaya........hizi hotel kubwa kubwa nimemaliza........",mfukoni hawana kitu, wanarudi home wakiwapa tabu wazazi wao.

Kuna mdada mmoja Mnyaki, sasa hivi anakunywa gongo ila wanao mjua wanakwambia enzi zake alikuwa kisu tokea yupo Makongo na kumbuka kuna siku sasa tulikua kijiweni kuna brother mmoja enzi zake naye alikuwa mtu wa bata walikuwawanakutana sana batani, wakakutana na mimi nikiwepo, yaani yule mdada kabakiwa na story kachoka ila still tako bado lipo,basi anajitamba ".....ametembea sana wasanii Daz Nunda.......hotel zote hizi kubwa za nyota tano kalala.....katembea na mageneral wa jeshi..........."

Yaani sasa hivi ukimwona kachoka, ila sijajua imekuaje kuaje kachoka mpaka kaanza kunywa gongo, hata yule brother mwenyewe hajui imekuwaje kuwaje anakunywa gongo.
Wanawake wa Kisomali walianza kudanga Ulaya miaka ya 70 baada ya kuiga Wahindi walioanza miaka ya 60. Walifanya makubwa kwao na waliuza mpaka meno ya tembo na madini.

Hii akili matope ni wa bantu tu.
 
Maslay queen wengi akili za maisha hawana hawafikiri kesho, wanazani kila siku watakuwa wazuri.
Nilisoma historia, nyumba ndogo hata wa Wazungu ni kawaida hasa wale matajiri, wengi wanatafutiwa wake wa kuoa kutoka noble families lakini mapenzi hakuna.

Mwanaume anatafuta furaha nje ya ndoa.

Lakini mistress anapewa credit card with unlimited spending limit, mzee ana lipia bill kila mwezi.

Wabibi wa mjini walimlaumu Diana kumuachia Camilla nafasi wakati yeye ndiye alikua mke halali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom