careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Kama ni kwel siyo yeye anayemhonga yule hahongi kiasi hicho mbahiliUwoya atakuja kuishia ka wema, anatumia hela vibaya, hivi ni kweli anatoka na Waziri wa tozo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kwel siyo yeye anayemhonga yule hahongi kiasi hicho mbahiliUwoya atakuja kuishia ka wema, anatumia hela vibaya, hivi ni kweli anatoka na Waziri wa tozo.
Àlibugi na anajutaa unaambiwa hana kiki mjini halafu yasemekana Neema ndepanya anamtumia tu kwenye series zake hamlipi wala niniWema mjinga wanaume wa bongo wanapenda bonge wenye misabwanda ya haja sasa yeye kajiloga mwenyewe, Bado uwoya naye ataishia huko huko Yani umaarufu wote tangu early 2005 kuja huku hata banda la kuku hawana wao show off. Huyo wema nyumba yenyewe ya mamake ni zile za zamani alishindwa hata ku I modify. Juzi niliona aristote akimcheka kuwa hana hata hela ya kusuka
Ameenda kuongeza zile juzi kati hapaIla nisiwe muongo nazipenda sana lips zake[emoji16]
Top 3,bwanaaa!!!!Ruangwa ni top4 ujue siyo 3
Inbox za jf zinaitwaje?!!!ndo unganisha codes!Ni nan niambie uwii
Yule binti mwenye migahawa mnamwitaga sijui shishi sijui nani na mobeto pamoja na na kina joket hawa Wana Akili kuzidi hawa wajinga wasiojielewa kabisa Kama wakina wema na Uwoya.
Shilole ana akili na alitokea kwa shida so anajua maisha ni nini hata akidanga shilole ana nyumba kadhaa pia analea wale mabinti zake vizuri tu, Hamisa na yeye baada ya kuchekwa na watu na kuzalilishana na kina mama dangote na kina zarina akapata akili mpaka sasa ana mjengo wake mzuri tu mjini, na hata joketi hawawezi kufa njaa shida ni kubwa jinga uwoya ana danga na kufanya show off ka za teenager ha think about future aisee. Vera sidika kadanga vya kutosha na kuwekeza hana stress kajioopolea ki Ben ten chake anakula life
PMInbox za jf zinaitwaje?!!!ndo unganisha codes!
Huyo waliachana mbonaKama ni kwel siyo yeye anayemhonga yule hahongi kiasi hicho mbahili
So hizo ni lips fake?Ameenda kuongeza zile juzi kati hapa
Zamani alikua anatoka na mama ntilie wakati akiwa mke wa makenika.Kule na yule mwenye jina kama inbox za jf....!!!
Wema baada ya kuanza kupotea akaenda kukata utumbo Matokeo yake daimond kamwacha nyota kufifia.Wema anajuta kukata utumbo alidhani kukata utumbo simba atamrudia kumbe ndo kajimalizaa...mondi hana ht mdaa!halafu ujue Uwoya kaenda ongeza lips?!! Na kingine kafanya surgery sura kaivutaa...
Mwenzenu mbeaaaa...chaaaa!ntasutwaaaaaaaaaaa!!!
Ni kweli ma slay queen walinyimwa akili na wengi huishia pabaya sana, sasa sijui umalaya huwatia ngudu au kitu gani.97% ya wadangaji hawana akili na hata wakiwa na mali, wakishaanza kuchuja wataziuza ili waendelee kumantain status,wakisha choka wanabakia na story ,utawasikia "........nimetembea sana ulaya........hizi hotel kubwa kubwa nimemaliza........",mfukoni hawana kitu, wanarudi home wakiwapa tabu wazazi wao.
Kuna mdada mmoja Mnyaki, sasa hivi anakunywa gongo ila wanao mjua wanakwambia enzi zake alikuwa kisu tokea yupo Makongo na kumbuka kuna siku sasa tulikua kijiweni kuna brother mmoja enzi zake naye alikuwa mtu wa bata walikuwa wanakutana sana batani, wakakutana na mimi nikiwepo, yaani yule mdada kabakiwa na story kachoka ila still tako bado lipo,basi anajitamba ".....ametembea sana wasanii Daz Nunda.......hotel zote hizi kubwa za nyota tano kalala.....nimetembea na mageneral wa jeshi..........."
Yaani sasa hivi ukimwona kachoka, ila sijajua imekuaje kuaje kachoka mpaka kaanza kunywa gongo, hata yule brother mwenyewe hajui imekuwaje kuwaje anakunywa gongo.
Ila ni yeyeRuangwa ni top4 ujue siyo 3
Aliolewa naye ila wameachana namhurumia huyo dogo janjaHuyo dada si aliolewa na dogo janja??
Yule dogo yupo wap siku hiz
Wengine tupo huku kwa mabeberu muda mrefu
Hahaaa wanaume mnachunguza detailsIla nisiwe muongo nazipenda sana lips zake[emoji16]
Of all people commenting on these thread's comments zangu ndo umeona tu kah, acha ushakunaku basi wewe kula ubuyu hayo ya mapovu mie sina nguo chafuDada mbona povi jingi? kuna personal issues au?
Yule dogo alikua anatafta kikii tu na uwoya nae alikua anakula pesaAliolewa naye ila wameachana namhurumia huyo dogo janja
Mm ule upaja na shundu tu aiseee ndoIla nisiwe muongo nazipenda sana lips zake[emoji16]