Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Wema ana majuto sana moyoni, na huyo anatumikaje bila kulipwa Hawa master wetu ni shida

Wema alibugi enzi za CK wa ikulu ,kile kipindi ndio alitakiwa atoke kimaisha , kwenye garage ya wema alikuwa na ndinga kama nne ,Q7,Harrier Pink,Mark X na Murano ,samani za ndani worth 50m ,endless fame company , receptionist anatumia mac ya milioni 4,amechezea maisha sana
 
Kushare majasho ya watu mbali mbali ni hatari wengine wana gundu/mikosi....Kuna wanawake wengine ukiwa nao unapata kismart cha pesa tatizo linaanza kwa mwanamme pesa zikishachanganya anaanza kutafuta maslay queen huko nje na wanamtia gundu na minyororo ya fedha inakata.
Inaweza kuwa the more you sex with different partners the more unabeba ma negative energy, ila hawa maslay queen wengi hukesha kwa waganga ili wapate wanaume wenye kipato sasa hapo ndo huwatia magundu
 
Wema alibugi enzi za CK wa ikulu ,kile kipindi ndio alitakiwa atoke kimaisha , kwenye garage ya wema alikuwa na ndinga kama nne ,Q7,Harrier Pink,Mark X na Murano ,samani za ndani worth 50m ,endless fame company , receptionist anatumia mac ya milioni 4,amechezea maisha sana NYUMBU.
Acha tu sasa ajute unapata hela watumia vibaya mara kumtoa Kajala aliyekuja kumuibia bwanake.

Uwoya naye IPO siku atajuta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom