Sukuma gal
Member
- Apr 13, 2021
- 30
- 32
Asante nimesoma na nimeelewa lakini uyo Clement alkuw waziri?,mbunge au?Wema Sepetu Ashtushwa Na Madai Kuwa Kajala Anatembea Na Clement
MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu Madam ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni. Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: Nampenda sana...www.jamiiforums.com