Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Wema alibugi enzi za CK wa ikulu ,kile kipindi ndio alitakiwa atoke kimaisha , kwenye garage ya wema alikuwa na ndinga kama nne ,Q7,Harrier Pink,Mark X na Murano ,samani za ndani worth 50m ,endless fame company , receptionist anatumia mac ya milioni 4,amechezea maisha sana NYUMBU.
Alikwenda shopping Dubai akaweka kiatu cha $3,000 Instagram anatoka shopping. Mtoto alikula maisha.
 
Top 3 always hua ni watumishi wa Serikali Kuu tu kaka!

1. Rais
2. Makamu
3. Waziri Mkuu

Sasa ukisema top three ni
1. Serikali
2. Mahakama
3. Bunge

Inakua tofauti sana! Maana kila siku huna tunadeal na serikali,hao kina Ndugai na Prof Juma sio sana!!
Ungejua mwedazake alipokata waya kuna gengi walitaka kumuovateki vice ili jobo ateki ova ni protokoo broo.
 
Yes brother,najua,bila ujasiri wa Mabeyo! Sasa hivi Rais angekua yule Radio a.k.a Kazi! Huyu angetulisha sumu watanzania tufe wote,maana msela ana roho ngumu sijawahi ona
Mhh yobo kimbunga sijui wewe unamtaja nani utajijua mwenyewe.mi nimesema yobo kimbunga
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimecheka kushindana na maiko jaksoni kaahhh....!!!mbona wadada ndo habari ya mjini sasa hivi surgery kuna mmoja anataka kwenda akienda tu ntajua!
Yani na hizi surgery zao fake I think uwoya kaweka lips fillers sijui wanaita ka za kelly jenner. Naona hamisa naye kaongeza tako kwa mturuki naona limemharibu maana halitikisiki kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom