[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Basi kazi tunayo....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umekana kabisa mapema [emoji1][emoji1]Haimaanishi nina mmoja bali nasema ninaye binti mrembo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]alaf huku chin kuna 20s znamea Kwa kas Sana mpaka unasema kifoBora ww una binti mmoja Mimi nina mabinti 4 visu nikiangalia na hii mishenzi ya mjini nabaki najiinamia nashika tama!!
Juz Tu mobero alikua huko na yeyeUmeona eeeh ni shida
Ubavu wa kulia ..Ni nani huyu?
Hahahaha,kumbe mkewe nae n mkoboaji mzuri?au mkobolewaji??
Nikiwaza kile kiharufu cha ngenya chakavu duh! Vibi huwa vinanukaga harufu za ajabu flani halafu et kijana mtanashati nizamie pangoni nipige deki 😌😌😌
Daah huyo initial ya dijeu ujue aliambiwaga aache kazi pale mawinguni akafunguliwa duka kubwa la nguo na mtoto juu wa kiume na yule tajiri wa usafirishaji mwenye jina la maombi sema ndo hvyo demu wa kitelephoni akamnyakua na tatoo ya jina lake akachora chezea nyakunyaku wa mjiHuyo huyo mtt wa kipemba alikuwaga na initial ya Dijei
Halafu anajiita mlokole huyoo[emoji16] na hivi anauza nganda hela haina kazi jmn... afu ushost wao na mrs singeli uliishia wapiYani anahangaika wewe mtu kifupi ka stuli unaenda ongeza tako na hips siunakuwa mulemavu ujue kila mtu alivoumbika ndio ilivotakiwa kuendana na kimo. Sasa huyo hata sura haivutii anaongezea kishimo ka Cha mdako huko usoni.
Wa tabata nani huyo shooNa yule wa tbt ashawahi kuliwa sjui kaacha enzo hzooo!!!mpk kina joti wakaigiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani
Halafu hajaelezea njia alizotumia kufikia hapoYule wa wanawake na maendeleo,kumbe alishawahi taka kunywa sumu afe,Jana nimemsikia alikua live kwenye kipindi cha Three Sixty,pale mawinguni! Ohhh sasa hivi,naendesha gari zuri,nalala vizuri,nakula chakula kizuri,naenda Nchi yoyote nitakayo mda wowote! Kwa hiyo usikate tamaa!Maneno yake! Motivation speaker
Mobero kashatengeneza takro kwa business alichoka kuvaa kigodoro, hafu nime ku PM mbona hujibuJuz Tu mobero alikua huko na yeye
Huyo mlokole jina huwa anauza unga long time tu ndio maana ana hela za kuchezea. Urafiki wao sijui ulikufaje kufaje aisee.Halafu anajiita mlokole huyoo[emoji16] na hivi anauza nganda hela haina kazi jmn... afu ushost wao na mrs singeli uliishia wapi
Weee [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]!!!!Mwaga vyombo mkuu,,,usihofu
Haivutii kweli kabisaa![emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]Yani anahangaika wewe mtu kifupi ka stuli unaenda ongeza tako na hips siunakuwa mulemavu ujue kila mtu alivoumbika ndio ilivotakiwa kuendana na kimo. Sasa huyo hata sura haivutii anaongezea kishimo ka Cha mdako huko usoni.
Ana 31 yrs kazaliwa tarehe 1january 1989!Mtu mzima tu huyo mno anajificha kwenye kichaka Cha injili