Yule wa wanawake na maendeleo,kumbe alishawahi taka kunywa sumu afe,Jana nimemsikia alikua live kwenye kipindi cha Three Sixty,pale mawinguni! Ohhh sasa hivi,naendesha gari zuri,nalala vizuri,nakula chakula kizuri,naenda Nchi yoyote nitakayo mda wowote! Kwa hiyo usikate tamaa!Maneno yake! Motivation speaker