Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hilo range la show off tu na hayo maisha ya ig kumbe Naye njaa Kali anazulumu watu
 
Hilo range la show off tu na hayo maisha ya ig kumbe Naye njaa Kali anazulumu watu
Manzi hela anayo aiseeh!

DSTV wamempa milion zaidi ya 150 kuigiza ile tamthilia yao.

Nandy festival TTCL wamempa zaidi ya Milion 150 na Bia ya Guinness wakampa milion 20.

Hapo sijaja kwenye music Streaming platforms na dili zingine Kama endorsement. Hela anayo Nandy trust me! Tena ipo


Ila Huyo manzi Ni bahili sijapata kuona. Hata Kama umefanya nae kazi shida kulipa.
 
Duh aache basi kudhulumu wenzake wanaotafta maisha inakuwa sio vizuri na haipendezi kabisa,
Why nandy walipe wenzako Haki Yao Bila hivo utapotomoka bure
 

Mpare
 
Duh aache basi kudhulumu wenzake wanaotafta maisha inakuwa sio vizuri na haipendezi kabisa,
Why nandy walipe wenzako Haki Yao Bila hivo utapotomoka bure
Hii pesa ya wadhamin haiend Kwa mpare
Yote wazee na yeye yupo pale Kama robot
Tu kuwakilisha Ila mpango wote unasmamiwa

na mawingu trust me mawingu hawawez
Toa time kubwa vile Kwa lile tamasha
Bure bure hiv alaf nandy pesa ya kuendeshea
Lile tamasha na kutafta wadhamin hana

I short pale wadhamin wamekuja
Kwakua nguvu ya mwainguni n
Kubwa na inawafkia wengi

Alaf mawingu wanajua kucheza na
Fursa Sana

Hebu fikiria Ile Safar ya train dar to kigoma
Kwenda na kurudi walitengeneza Shi ngapi
Ile Simba na yanga?
 
Hapana mkuu Lile dili Ni la Nandy advertisement kwenye radio kasimamia TTCL so anachopata Nandy anakipata chote. Nandy Hana watu wa Kati wengi. Ndio maana nakwambia ana pesa huyu dogo acha tu muone hivyo hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…