Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kama Kuna watu wa timu Yake wako humu watakuwa wanajua ukweli na wanajua hiki ninachosema sema hawawez kuongea.


Huyo demu Ni bahili sijapata kuona.
Ila hyo nandy festival naamin hajaingiza hela nying aisee..nadhan anajenga jina ikue tu..imagine ana wasanii wangap wana perfom..anawalipia kilaa kitu hotel.misos etc na kuzunguka mikoan.. uandaj wa show etc..na naamin skuhiz wasanii hawapokei si chin ya 1m hyo toa malaz chakula etc...bado crue nzima ya kaz nzima..ndomana unakuta anayumba..kuna uwezekano ni mbahil kwel ila pia nandy festival haimlip kihivyoo..viingilio vyenyew vya buk 3...imagine hata waingie watu elf5...au elf10...hamna kitu mzee..ndomana wafadhili wanasaidia ku endorse hzo pesa kidogo...

Ila cha msingi alipe maden na aache show offs huku anadaiwa
 
Haya maden hebu jamaa aweke kitabu
Mezan tujue
 
Kama haimuingizii hela asiwe anasaini hela za wanaume!

Halafu hizo festival Hakuna kutegemea gate collection maana mdhamini ameshalipia kila kitu , gate collection Ni za msanii kuongezea tu .

Ni Kama Nandy festival Zanzibar waliinyima vibali ikafanyika late na kidogo itokee vurugu (Imagine festival ilifanyika kwa masaa kama manne tu) na watu wametoa viingilio. Na watu hawakufika hata 100 kwasababu serikali a Zanzibar walizingua kinyama kutoa vibali, ila hayo yote yanatokea tayari alikuwa ameshasaini zaidi ya milion 150+ kutoka TTCL.

Wasanii wanapewa milion 1 moja ni professional Jay ndio alipewa 1.5 tu.

Hiyo hela inatosha. Yeye alipe madeni tu.


Tunamuheshimu hatutaki kumwaga mboga hapa.


Chawa wake wampeleke taarifa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…