Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.

Si mpare ulitegemea nini hapo
 
Huyo mama hajielewi anajali hela kuliko utu wa mwanawe
Kipindi kile cha jasiri alivyo tangulia, wakati wazazi wake wakiongea walidai alikuwa tayari kishatolewa barua na jasiri. Juzi tu hapa kama siokesei alikuwa na event yao ya kifamilia, mama na dada yake wakati wakihojiwa wakadai bado mdogo hatakiwi kukimbilia ndoa.

Ndio utajua pesa ilivyo na nguvu,yaani pale ndugu yangu wa Tag ubavu atafute chaka jingine pale hapamfai.

Ila wamama wa siku hizi wengi wao akili zao hazitofautiani na mabinti zao kwenye pesa, utakuta mama au dada yake anasema ".......mwanaume hasiye na hela husituletee......".

Ndio maana Wanyabi siku hizi ukiwaletea pigo hizo, wanampa mimba ya kwanza, halafu anawasikilizia akiona bado mnakaza,anapiga mimba ya pili, baadae kinyonge unafuatwa na wakwe ".....hivi mwanetu utamuoa lini.......we muoe mahali utatulipa baadae........" na unapangiwa mahali ya kawaida kabisa ya mwanachi wa kawaida.
 
Hivi leo umepata muda wa kula kweli, au nikuletee hapo hapo unapochart dinner?[emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Leo chai nmekunywa
Saa Saba na huku nliko barid Kama lote
Watu wanaamka nayo saa moja[emoji1][emoji1]
Kuhusu lunch nmetiliza mpaka dinner
Ndo nakusubiria ulete[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Hii cm leo imetumika mbaya
Data iko on tangu 6:30am
Mpaka sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana kila nikikapua nakuona sasa ngoja nikuletee hapo hapo [emoji3][emoji3][emoji3], ili mradi umeniruhusu ,uzi huu nadonoa tu ha ha ha ha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana kila nikikapua nakuona sasa ngoja nikuletee hapo hapo [emoji3][emoji3][emoji3], ili mradi umeniruhusu ,uzi huu nadonoa tu ha ha ha ha.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
Utakua umefanya vizur
Umenikoa kuanza kuingia jikon

Cjui ulete ukileta kabisaaaaa
Na ubakiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Leo mm ndo nmekua humu kwakweli
Huku n kukosa kazi yakufanya yani
[emoji2][emoji2]
 
Haa haa ha kwahiyo na mie nimekuwa mmoja wa chakula niletacho? Nafikisha nakugeuza karibia nafika
 
Nenga kamganda yule mtoto.kamwambia huwez kuwa umeniunga kwenye grid ya taifa halaf uniache kisela hiv hiv..ntautangazia umma..hahah..mpare kaona bora aawe mpole tu
 
My dear wakishapataga visent vyao vya haramu wakifungua vimiradi aisee wote mtaonekana hamjui kupambana nakwambia! Yaani tutaandikiwa ma list ya motiveshen speech ndio utajua hujui.
Hivi kwa hiyo bado anaendelea au ndo aliweka akiba..sio kwa baecation zile kwa biashara ya kitimoto na vipodozi tu [emoji848]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…