reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Kamroga yule si bure,ni mamaz boiii yule kijanaNa anamuendekeza huyo mm ake, yn yy hana maamuz na maisha yake. Kila kitu anamsikiliza mm ake
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamroga yule si bure,ni mamaz boiii yule kijanaNa anamuendekeza huyo mm ake, yn yy hana maamuz na maisha yake. Kila kitu anamsikiliza mm ake
Mlozi na mlozi mwenziwee...yule maza hakuna demu ataolewa na mondi bongo hii maana akiwaza urithi wa Mali za kijana wake roho inamruka kabisaaa!!!Alaf anamuita mkwe wake mchawi
Waswahili hujuana Kwa vilemba
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kafanyaje?!![emoji28][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1]au anataka kuliwa yeye!!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
Hebu cheken kidogo mkingojea ubuyu
Kuna dem ameweka pic Kwa status
Akiwa na best Ake sasa mm nkataka
Number ya huyo mwenzake[emoji1][emoji1][emoji1]
Aniskumie pass[emoji1][emoji1]
Alichokifanya sasa nmebak Tu
Nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makubwa haya,kwani si kila siku wanaume wanadai mtoto na mama kwahiyo ni mapenzi ya mzazi tu, sasa mpaka wivu dunia hii ina siri kubwa kwa binadamu!Yule mama nuksi haoni shida kuwagongea nane usiku halafu hana hata cha maana anachohitaji kwa mwanawe...na akiona mwanawe anaanza kufall tu anatengeneza zengwe mpk mnaachana
Kama bosslady baada ya kuona kijana atanogewa akaambiwa mobeto abebe mimba,baadae mobeto nae akasalitiwa alivoona mkaka bado anakomaa na mama watano akaenda south alichoenda kufanya anajua mwenyewe ila alivorudi tu UA jeusi likatawala na mambo yakaishia hapo.
Yule kaka hawezi oa mpk bimkubwa ake afe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kafanyaje?!![emoji28][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1]au anataka kuliwa yeye!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa , Huyo demu Hadi huwa hapokei simu za Mama Yake.Hawawezi kuachana Dada anampenda mshikaji maza wa nandera hamtaki kisa hana pesa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yani alaf naona mamaMlozi na mlozi mwenziwee...yule maza hakuna demu ataolewa na mondi bongo hii maana akiwaza urithi wa Mali za kijana wake roho inamruka kabisaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhuuuu balaaaaNi kweli kabisa , Huyo demu Hadi huwa hapokei simu za Mama Yake.
Mama Hadi anafunga safari za kimya kimya kuja Dar
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]maza opportunistic daah!halafu wenyewe wanapendana sana,muache tu amringie nenga umri wa ndoa ukifika atajuta maana hata nenga atakua not richabo.Ni kweli kabisa , Huyo demu Hadi huwa hapokei simu za Mama Yake.
Mama Hadi anafunga safari za kimya kimya kuja Dar
kMashart ya vitambaa vyekundu na
Vyeus lazma yafwa
😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulikuepo vile yani alichokifanya
Kanipa number na mm number
Nkaunga trella[emoji23][emoji1][emoji1] na jina kabisa
Kanipa
Kumbe number aliyonipa n yake nyingine
Mm nafkir n best Ake kumbe n yeye
Yani nmechoka Hoi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namtaka rafki ake sasa anajileta yeye
Jaman
Yule ndo wa kumzaa Mrs msizwa huyu kwini wa kambo na kuna story nyingi sana best enzi hizo kwini supastaa kamringia sana bin laden mpk shooting ya kamwambie alimgomea ndo akafanya na Mrs MsizwaKabisa yani alaf naona mama
Akiwa na mwanae mwenye
Duka sinza wako kitu kimoja
Kabisa Ila Yule alieolewa mke WA
Pili yeye n kama hayuko Sana na
Waoo
Dhaaaaaaa Ila yenyewe enz kwinYule ndo wa kumzaa Mrs msizwa huyu kwini wa kambo na kuna story nyingi sana best enzi hizo kwini supastaa kamringia sana bin laden mpk shooting ya kamwambie alimgomea ndo akafanya na Mrs Msizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss kwin na hyo bin laden ss hv si hawana undugu wowoteYule ndo wa kumzaa Mrs msizwa huyu kwini wa kambo na kuna story nyingi sana best enzi hizo kwini supastaa kamringia sana bin laden mpk shooting ya kamwambie alimgomea ndo akafanya na Mrs Msizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv qwin aliwah kutoka na ndombolo????Dhaaaaaaa Ila yenyewe enz kwin
Akiwa star nyota inangara aliringa
Sana
Sasa ndo tunasema "JIWE WALILOLIKATAA
WAASHI LIMEKUA JIWE KUU LA PEMBEN"
Lkn wanasema qwin ndo alimfanyia dogo macconectionYule ndo wa kumzaa Mrs msizwa huyu kwini wa kambo na kuna story nyingi sana best enzi hizo kwini supastaa kamringia sana bin laden mpk shooting ya kamwambie alimgomea ndo akafanya na Mrs Msizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii code ya jiko la wazi msaada tasafal[emoji1787]Heee! Kumbe jiko la wazi nae anakoboana????
Ile wakati Kama ndombolo hakupitaHiv qwin aliwah kutoka na ndombolo????
Unamaanisha nn apa?Daahhh!!!mjini ukimwi unazungukaaa...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin dogo naona hamthaminLkn wanasema qwin ndo alimfanyia dogo macconection