Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
Hebu cheken kidogo mkingojea ubuyu

Kuna dem ameweka pic Kwa status
Akiwa na best Ake sasa mm nkataka
Number ya huyo mwenzake[emoji1][emoji1][emoji1]
Aniskumie pass[emoji1][emoji1]

Alichokifanya sasa nmebak Tu
Nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanyaje?!![emoji28][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1]au anataka kuliwa yeye!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mama nuksi haoni shida kuwagongea nane usiku halafu hana hata cha maana anachohitaji kwa mwanawe...na akiona mwanawe anaanza kufall tu anatengeneza zengwe mpk mnaachana
Kama bosslady baada ya kuona kijana atanogewa akaambiwa mobeto abebe mimba,baadae mobeto nae akasalitiwa alivoona mkaka bado anakomaa na mama watano akaenda south alichoenda kufanya anajua mwenyewe ila alivorudi tu UA jeusi likatawala na mambo yakaishia hapo.
Yule kaka hawezi oa mpk bimkubwa ake afe

Sent using Jamii Forums mobile app
Makubwa haya,kwani si kila siku wanaume wanadai mtoto na mama kwahiyo ni mapenzi ya mzazi tu, sasa mpaka wivu dunia hii ina siri kubwa kwa binadamu!
 
Kafanyaje?!![emoji28][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1]au anataka kuliwa yeye!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulikuepo vile yani alichokifanya
Kanipa number na mm number
Nkaunga trella[emoji23][emoji1][emoji1] na jina kabisa
Kanipa

Kumbe number aliyonipa n yake nyingine
Mm nafkir n best Ake kumbe n yeye
Yani nmechoka Hoi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namtaka rafki ake sasa anajileta yeye
Jaman
 
Mlozi na mlozi mwenziwee...yule maza hakuna demu ataolewa na mondi bongo hii maana akiwaza urithi wa Mali za kijana wake roho inamruka kabisaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yani alaf naona mama
Akiwa na mwanae mwenye
Duka sinza wako kitu kimoja
Kabisa Ila Yule alieolewa mke WA
Pili yeye n kama hayuko Sana na
Waoo
 
Ni kweli kabisa , Huyo demu Hadi huwa hapokei simu za Mama Yake.

Mama Hadi anafunga safari za kimya kimya kuja Dar
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]maza opportunistic daah!halafu wenyewe wanapendana sana,muache tu amringie nenga umri wa ndoa ukifika atajuta maana hata nenga atakua not richabo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashart ya vitambaa vyekundu na
Vyeus lazma yafwa
k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulikuepo vile yani alichokifanya
Kanipa number na mm number
Nkaunga trella[emoji23][emoji1][emoji1] na jina kabisa
Kanipa

Kumbe number aliyonipa n yake nyingine
Mm nafkir n best Ake kumbe n yeye
Yani nmechoka Hoi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namtaka rafki ake sasa anajileta yeye
Jaman
😂😂😂😂😂😂😂
 
Kabisa yani alaf naona mama
Akiwa na mwanae mwenye
Duka sinza wako kitu kimoja
Kabisa Ila Yule alieolewa mke WA
Pili yeye n kama hayuko Sana na
Waoo
Yule ndo wa kumzaa Mrs msizwa huyu kwini wa kambo na kuna story nyingi sana best enzi hizo kwini supastaa kamringia sana bin laden mpk shooting ya kamwambie alimgomea ndo akafanya na Mrs Msizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule ndo wa kumzaa Mrs msizwa huyu kwini wa kambo na kuna story nyingi sana best enzi hizo kwini supastaa kamringia sana bin laden mpk shooting ya kamwambie alimgomea ndo akafanya na Mrs Msizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhaaaaaaa Ila yenyewe enz kwin
Akiwa star nyota inangara aliringa
Sana

Sasa ndo tunasema "JIWE WALILOLIKATAA
WAASHI LIMEKUA JIWE KUU LA PEMBEN"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom