Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kama Ni kweli Basi atakuwa mama ndo mwenye last day ya UTAJIRI wake..na bi mkubwa ndo atakayeamua Ni MKE yupi mwanae atakayemuoa... Mana ndago za namna hiyo ili kulinda UTAJIRI lazima wawe wananyanduana na Bim mkubwa atapata kila anachokita
Dhuuuu pesa za shida hiz
Sasa ndo awafrahishe watu Kwa
Kumnyandua mazaake
 
Hata wema alilia wakat anavishwa
Na domo pale maisha club
[emoji1][emoji1][emoji1]
Wkt alijua fika km atavalishwa pete, ss et kujifanya km ilkw n suprise loh. Na kuvaa mtu kavaa amependeza sa hta sijui alkw analia nn
 
Dhuuuu pesa za shida hiz
Sasa ndo awafrahishe watu Kwa
Kumnyandua mazaake
Ukianza kutafuta UFALME Kuna njia nyingi za kuufikia na una terms and conditions hata ukiamua kujiunga jf Kuna mashart yake ...NI KAZI SANA KUUFIKIA UFALME(UTAJIRI) kuna njia za halal na njia za Giza Sasa mashart ndo hayo.
Itabid siku ya kwanza bimkubwa apigwe voko na aahidiwe mema ya nchi akikubali Basi Mambo ndo Kama hivyo.atapewa ratiba mbelen Kama Ni Mara moja kwa mwezi au kwa week wanajua wao..Mana Ni easy kuupata UTAJIRI Ila Ni NOT EASY KUULINDA UTAJIRI... Halal Ni Bora KULIKO isiyo HALALI
 
Kama Ni kweli Basi atakuwa mama ndo mwenye last day ya UTAJIRI wake..na bi mkubwa ndo atakayeamua Ni MKE yupi mwanae atakayemuoa... Mana ndago za namna hiyo ili kulinda UTAJIRI lazima wawe wananyanduana na Bim mkubwa atapata kila anachokita
Utajiri una mambo huu, unapata kabisa ashki kumnyadua aliyekuleta duniani?
 
Hili nilishaliskia sikia mahali ila sikuwa na uhakika! Inasemekana bi Mazer anapigwa moto na born child CEO wa Waclean beiby!
 
Hii ntaishi nayo kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utajiri una mambo huu, unapata kabisa ashki kumnyadua aliyekuleta duniani?
Hamna utajiri unaokuja kiwepesi! Ili kufikia zile pesa bwana Madini alitakiwa aparangane 40 years atleast!

Ila yeye kajipiga piga ndani ya 7 years muelekeo ukawa tayari! Piga hesabu tu 2013-2021 mjuba alipo now! Kunayo namna aisee
 
Anakula nchi tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani Sana hakuna utajir wa hiv hiv
Ndo maana mashoga wanaongezeka
Kwakuona mashart n magumu
Bas wanapelekewa Moto
 
Utajiri una mambo huu, unapata kabisa ashki kumnyadua aliyekuleta duniani?
Aliutaka UFALME Sasa kaupata na ili uzid KUWEPO Basi Ni kufanya yale yaliyopo kwenye MKATABA wa upatikanaji wa MALI.. NO WAY OUT..... mama akisema muo bitukinao au mzilo beto au sepenga au binti toka sigimbi huko kijana atakuwa Hana options Ni kukubaliana na maagizo ya mwenye mali
 
Hatari Sana haya ni mateso bila chuki sasa, dunia hii hamna Cha bure
 
Hamna utajiri unaokuja kiwepesi! Ili kufikia zile pesa bwana Madini alitakiwa aparangane 40 years atleast!

Ila yeye kajipiga piga ndani ya 7 years muelekeo ukawa tayari! Piga hesabu tu 2013-2021 mjuba alipo now! Kunayo namna aisee
Utajiri uje kiurahisi labda uwe ulizaliwa kwa familia ya kitajiri, ila kwetu watu wakawaida una hustle hatari ikiwemo kutumia mbinu chafu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…