Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Utajiri uje kiurahisi labda uwe ulizaliwa kwa familia ya kitajiri, ila kwetu watu wakawaida una hustle hatari ikiwemo kutumia mbinu chafu
Una hustle na hela haionekani..msululu wa wategemezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahah kumbe muuza kitimoto wa “Mapumziko Park” nae ni muuza ngano tu pia [emoji23][emoji23][emoji23] yani kwa maisha yapi yale mara wako “Bali” mara Dubai mara Zenji ina maana vipodozi anauza yeye pekeake nchi nzima?
Zenji kila baada ya wiki mbili na familia nzima..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi ile nyumba alipostigi anajenga ilishaisha?
 
Unajua kwanini fisi ananuka sana tofauti na Simba japo wote wanakula nyama, ni kwasababu yeye anakula mizoga mnoo, kwahiyo jitahidi kutafuta [emoji3][emoji3].
Dah sasa mie nakula mizoga tena mbona dhereu sasa😎? Wanaogonga vibibi ndio wanakutana na hayo maswahibu! Af kingine pisi inaweza ikawa kali ila ukiifunua inanuka uvundo
 
Uzi wa wapumbavu na kwa ujinga huu ccm ndio furaha yao kwasababu hamuwasumbui kuwaza hatma yenu na ya vizazi vyenu ambayo wao ccm hawataki muijadili wanafurahi wakiona mnajadili maisha ya watu hivyo Basi nyie wote mnaochangia Uzi huu mlaaniwe na ni wasaliti wa vizazi vyenu vijavyo.
Nikajua hujasoma kabisa..kumbe umesoma ukajua wanajadiliwa watu. Sasa na wewe si ni walewale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah sasa mie nakula mizoga tena mbona dhereu sasa[emoji41]? Wanaogonga vibibi ndio wanakutana na hayo maswahibu! Af kingine pisi inaweza ikawa kali ila ukiifunua inanuka uvundo
Sijakudharau bali achana na watoa uvundo, ila shida kuwatambua ndiyo unapata shida inabidi uwe mtulivu hata vibibi huwa vizuri kuzidi hata warembo [emoji3][emoji3]
 
Hahahahah kumbe muuza kitimoto wa “Mapumziko Park” nae ni muuza ngano tu pia [emoji23][emoji23][emoji23] yani kwa maisha yapi yale mara wako “Bali” mara Dubai mara Zenji ina maana vipodozi anauza yeye pekeake nchi nzima?
Mapumziko park[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana aisee nilipojua Hilo jina hahahah

Yule mkabati[emoji1787]
 
Sijawahi hata iona kila nikikutana na pic zake huwa yuko mtoko yani na mbeba pochi wake yule! Sahizi naona kamfungulia duka Sinza la nguo!
Embu nitafutie na mie nikawe mbeba pochi chawa wanguvu huenda namie nikatoka[emoji851]
 
Sijawahi hata iona kila nikikutana na pic zake huwa yuko mtoko yani na mbeba pochi wake yule! Sahizi naona kamfungulia duka Sinza la nguo!
Kamfungulia ili awe busy na yeye asiwe tegemezi sana.

Alipostigi kitambo dream house in making sasa sijui haiishi tangu 2018 huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom