Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Utakuwa ulishakutana na miharufu ndiyo maana unajua harufu zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sigongi vibibi mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa ulishakutana na miharufu ndiyo maana unajua harufu zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sigongi vibibi mie
Una hustle na hela haionekani..msululu wa wategemezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utajiri uje kiurahisi labda uwe ulizaliwa kwa familia ya kitajiri, ila kwetu watu wakawaida una hustle hatari ikiwemo kutumia mbinu chafu
Zenji kila baada ya wiki mbili na familia nzima..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahah kumbe muuza kitimoto wa “Mapumziko Park” nae ni muuza ngano tu pia [emoji23][emoji23][emoji23] yani kwa maisha yapi yale mara wako “Bali” mara Dubai mara Zenji ina maana vipodozi anauza yeye pekeake nchi nzima?
Dah sasa mie nakula mizoga tena mbona dhereu sasa😎? Wanaogonga vibibi ndio wanakutana na hayo maswahibu! Af kingine pisi inaweza ikawa kali ila ukiifunua inanuka uvundoUnajua kwanini fisi ananuka sana tofauti na Simba japo wote wanakula nyama, ni kwasababu yeye anakula mizoga mnoo, kwahiyo jitahidi kutafuta [emoji3][emoji3].
Hahahahah fala sana mzee hshahaHili nilishaliskia sikia mahali ila sikuwa na uhakika! Inasemekana bi Mazer anapigwa moto na born child CEO wa Waclean beiby!
Nikajua hujasoma kabisa..kumbe umesoma ukajua wanajadiliwa watu. Sasa na wewe si ni walewale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi wa wapumbavu na kwa ujinga huu ccm ndio furaha yao kwasababu hamuwasumbui kuwaza hatma yenu na ya vizazi vyenu ambayo wao ccm hawataki muijadili wanafurahi wakiona mnajadili maisha ya watu hivyo Basi nyie wote mnaochangia Uzi huu mlaaniwe na ni wasaliti wa vizazi vyenu vijavyo.
Sijawahi hata iona kila nikikutana na pic zake huwa yuko mtoko yani na mbeba pochi wake yule! Sahizi naona kamfungulia duka Sinza la nguo!Zenji kila baada ya wiki mbili na familia nzima..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ile nyumba alipostigi anajenga ilishaisha?
Inawezekana maneno tu..[emoji1787][emoji1787]Hahahahah mtu anayekwambia anaingiza almost 2OOM kila week sio tajiri huyo
Kwa ile taizi ya kuvuta mkoko wa 1B+ sina shaka kuwa mzigo dogo anaoInawezekana maneno tu..[emoji1787][emoji1787]
Sijakudharau bali achana na watoa uvundo, ila shida kuwatambua ndiyo unapata shida inabidi uwe mtulivu hata vibibi huwa vizuri kuzidi hata warembo [emoji3][emoji3]Dah sasa mie nakula mizoga tena mbona dhereu sasa[emoji41]? Wanaogonga vibibi ndio wanakutana na hayo maswahibu! Af kingine pisi inaweza ikawa kali ila ukiifunua inanuka uvundo
Mapumziko park[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana aisee nilipojua Hilo jina hahahahHahahahah kumbe muuza kitimoto wa “Mapumziko Park” nae ni muuza ngano tu pia [emoji23][emoji23][emoji23] yani kwa maisha yapi yale mara wako “Bali” mara Dubai mara Zenji ina maana vipodozi anauza yeye pekeake nchi nzima?
Embu nitafutie na mie nikawe mbeba pochi chawa wanguvu huenda namie nikatoka[emoji851]Sijawahi hata iona kila nikikutana na pic zake huwa yuko mtoko yani na mbeba pochi wake yule! Sahizi naona kamfungulia duka Sinza la nguo!
Kamfungulia ili awe busy na yeye asiwe tegemezi sana.Sijawahi hata iona kila nikikutana na pic zake huwa yuko mtoko yani na mbeba pochi wake yule! Sahizi naona kamfungulia duka Sinza la nguo!
Tena Jide alinunua 2013 mwaka ambao imetoka tu!😂 in 0kms hakana bei sana hako kagari! Nafikiri kipindi kile lilikuwa 150m pamoja na kodi sahiz katakuwa kameshuka shuka beiEvoque hilo lady jaydee alikua nalo kabla hajaachana na Gadner duuhhh hayana bei hayo kama range new model
Dream hausi ya NyokweKamfungulia ili awe busy na yeye asiwe tegemezi sana.
Alipostigi kitambo dream house in making sasa sijui haiishi tangu 2018 huko
Ila pa kumkaza mamushka..msiba huu jamaniKwa ile taizi ya kuvuta mkoko wa 1B+ sina shaka kuwa mzigo dogo anao
HahahahahahEeh mwanasheria uchwara mbebaji pochi kmmmk walai![emoji23] Wanaume tukikosa hela tunadhalilika sana