Ila ma Mr. Inbox wengi huwa wanashindwa kuwa marais nchi hiiMr inbox Ana ndoto za kuwa mkuu wa Kaya
Wazee wa network wanaweza mpitia na skandali akachafuka mazima .
Huwezi kula changu halafu ukae jumba jeupe
Sasahv ukikanunua kale ni ugonjwa wa moyo tu kila gereji utachepukia mjini. Bora hata harrier old model.Tena Jide alinunua 2013 mwaka ambao imetoka tu![emoji23] in 0kms hakana bei sana hako kagari! Nafikiri kipindi kile lilikuwa 150m pamoja na kodi sahiz katakuwa kameshuka shuka bei
Inasemekana aliachiwa na baba mtoto wake yule mkubwa..alipofungwa ili atunze mtoto.Ile nyumba ya ofisi za wasaf tv na redio naskia ni yake kawapangisha wasafi
Nimeingia cha kike..nkashtuka nikatoka nje nikaweka Bango...hiki Choo Ni cha kikwWewe ulieko huku n nan
Na mie nlitaka kuuliza ivyoivyoNenga kapost 40 ya mtoto yeye na
Dada anaesemekana n mkewe
Huu ubuyu cjui umekaaje
Na mpare anasema hawajaachana
Mtoto wa 92 yule eti bado mdogo[emoji15]Kipindi kile cha jasiri alivyo tangulia, wakati wazazi wake wakiongea walidai alikuwa tayari kishatolewa barua na jasiri. Juzi tu hapa kama siokesei alikuwa na event yao ya kifamilia, mama na dada yake wakati wakihojiwa wakadai bado mdogo hatakiwi kukimbilia ndoa.
Ndio utajua pesa ilivyo na nguvu,yaani pale ndugu yangu wa Tag ubavu atafute chaka jingine pale hapamfai.
Ila wamama wa siku hizi wengi wao akili zao hazitofautiani na mabinti zao kwenye pesa, utakuta mama au dada yake anasema ".......mwanaume hasiye na hela husituletee......".
Ndio maana Wanyabi siku hizi ukiwaletea pigo hizo, wanampa mimba ya kwanza, halafu anawasikilizia akiona bado mnakaza,anapiga mimba ya pili, baadae kinyonge unafuatwa na wakwe ".....hivi mwanetu utamuoa lini.......we muoe mahali utatulipa baadae........" na unapangiwa mahali ya kawaida kabisa ya mwanachi wa kawaida.
Rocka wa mwendokasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Poleni inabidi mdaigi hela cash, niliskia yule Rocka wa mwendokasi kamlamba mtoto nana dollz kwa kumfanyisha video vixen kisha badala ya 500k akamtia 50k
Meza paracetamol [emoji1787]Kuna code zinatembea humu hadi kichwa kinauma..
Rudia kuisoma sentence hata Mar kumi Kati ya maneno utamjua tu mtu Kama ushawahi msikia[emoji1787]Msaada tutani mkuu hapa kwenye funga fungua semi "TUENI MIZIGO YENU"
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Code zako unavyoumba sijui unatuma programming language gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanin masta
Hio ni COBOL mzee mwenzanguCode zako unavyoumba sijui unatuma programming language gani
Mfano eti "Era-lighting mke spit out" ,rocks wa mwendokasi, hahahahahah siku ya Leo nimecheka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe bb mtt wake ameshatoka jela loh, nlkua sina hii hbr.Inasemekana aliachiwa na baba mtoto wake yule mkubwa..alipofungwa ili atunze mtoto.
Baba mtu kashatoka jela kachukua chake.
S2keez bebi...analamba umeme tu. Halaf wanaa wanatindua bila huruma...kuna dogo mmojaa anaitwa heri muzik..mtoto mdogo akaendaga kuyavagaa kwa vadi..daaah.nkasema hiv hawa watoto waadogo wanamjua vadi kweli...Arajei skamla tuenimizigo yenu halafu wapuuzi wanamlaa demu kwa Malaki hoteli bagaheart na kwa Wala urojo
Chain ni ndefu Sana kudadeki
JafarymezMaanina..hyo code nime i crack kitaalam...hahahaha...yule anausambaza tu umeme..mzee wa rhymes kabak na car wash tu
Hizo ni stori za wenye matatizo,ingekua hivyo watu wangejaa kwa huyo mganga na mama zao....no pain no gainNi kweli eti hukutana na mamake kishirikina kisa masharti ya kalumanzila sasa usikute ndo wivu unaanzia hapo
Ha ha ha ha mwingine huyu hapa, sie mpaka university tumefika ndani ya wiki lakini code hizi kiboko tunafanya kukenua na kupita tu[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna code zinatembea humu hadi kichwa kinauma..
Hiyo yake niuzie mimi atanifaa kwa matumizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulikuepo vile yani alichokifanya
Kanipa number na mm number
Nkaunga trella[emoji23][emoji1][emoji1] na jina kabisa
Kanipa
Kumbe number aliyonipa n yake nyingine
Mm nafkir n best Ake kumbe n yeye
Yani nmechoka Hoi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namtaka rafki ake sasa anajileta yeye
Jaman
Ya mzazi mwenziwe alikua jela ametoka nafikir mwaka huu mwanzoni au mwaka Jana aliachiwa ili imsomeshe mtoto kashaichukua mwenye MaliIle nyumba ya ofisi za wasaf tv na redio naskia ni yake kawapangisha wasafi
Hivi yule naye ni food eehHiv hiv Yule mlokole alielimwa mtama
Pale taifa amepotelea wapi au ndo
Sahan inaliwa kimya kimya hataki
Tena kiki