Kipindi kile cha jasiri alivyo tangulia, wakati wazazi wake wakiongea walidai alikuwa tayari kishatolewa barua na jasiri. Juzi tu hapa kama siokesei alikuwa na event yao ya kifamilia, mama na dada yake wakati wakihojiwa wakadai bado mdogo hatakiwi kukimbilia ndoa.
Ndio utajua pesa ilivyo na nguvu,yaani pale ndugu yangu wa Tag ubavu atafute chaka jingine pale hapamfai.
Ila wamama wa siku hizi wengi wao akili zao hazitofautiani na mabinti zao kwenye pesa, utakuta mama au dada yake anasema ".......mwanaume hasiye na hela husituletee......".
Ndio maana Wanyabi siku hizi ukiwaletea pigo hizo, wanampa mimba ya kwanza, halafu anawasikilizia akiona bado mnakaza,anapiga mimba ya pili, baadae kinyonge unafuatwa na wakwe ".....hivi mwanetu utamuoa lini.......we muoe mahali utatulipa baadae........" na unapangiwa mahali ya kawaida kabisa ya mwanachi wa kawaida.