Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
kaka wewe ndiye b dozen au? Kwanini awaongelewi wengine ni wao tu hebu jaribu kutafakari.Hizi story za Bdozen ni uongo mtupu, I think is a high time Bdozen jitokeze ukanushe, maana zimepitiliza sasa, unapokaa kimya zinaonekana ni kweli, ni watu tu nachuki zao, why mseme Bdozen ndio analiwa na sio Majay ndio analiwa na Bdozen? Mtu anakomaa as if kuna ushahidi...ooh mara alimuacha demu wake saa nane akaingia kwenye apartment ya mwanaume mwingine? Hivi mnajua hata anakokaa Bdozen? Mtu anayeandika hizo story yuko Sumbawanga, anaandika as yeye ndio demu wake