Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
[emoji3][emoji3][emoji3]tena yule balaa!bongo movie wakijua una pesa unarogwa na familia nzima wanashirikiana kuanza mama,kaka Dada na vilembwee!!!balaaaa
C lazma wale kwako Kama
Umeingia box hawakuach[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kabisaaa Yaani ila yeye akiguswa anavolalamika yule hanaga mfanoo!!anajua siri za watu na za kwake zinajulikana mbona!wanamstahi tuu...
Ila ni mshenzi tu!ila kwa sasa anakoelekea ya kwake yooote yatakaa hadharani

Anapenda sana kufichua siri za wenziwe
 
Kabisaaa Yaani ila yeye akiguswa anavolalamika mbwa yule hanaga mfanoo!!anajua siri za watu na za kwake zinajulikana mbona!wanamstahi tuu...
Ila ni mshenzi tu!ila kwa sasa anakoelekea ya kwake yooote yatakaa hadharani
Yataanikwa Sana maana alikua anajificha
Kivul cha Simba Kwa sasa alvo nje
Anachofanya n kuita Tu press zile za udaku
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Maana hakuna redio inayoweza kupeleka
Mwanahabari wake kwenye press ya manara
Kwa sasa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ana channel inaitwa manara TV!atakua anaonesha upuuzi wake binafsi Mimi nshamdharau toka atoke Simba!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ana channel inaitwa manara TV!atakua anaonesha upuuzi wake binafsi Mimi nshamdharau toka atoke Simba!
Hyo channel akiigeuza ya udaku
Hata GSM na bakhresa wataachana nae
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…