Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hahhahaha
Amina, tena mimi nikikukuta me anasumbua mwanafunzi..mtoto wa mtu hakuna rangi utaacha kuona
Yule jamaa anatumia mjini IG anatumia Id a triple 7 wamjua...?!!ndo danga la tessy kwa sasa...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]naenda oga miye mida ya kulala........!!!!!!!
 
Mwenye trpple 7?
 
Hahaaa kweli wanaume mna vipaumbele vyenu sisi wanawake hatuelewi kamwe. Unampendeaje mtu tako na macho yake tu aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vigumu kuelewa yani ila ndio hivyo πŸ˜…
 
Aliuzaga haya magari yote auπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…