Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Daah sijisifii lakini basi tuSijui kwanini wanaume wasio ma hechibii huzaa vitu vizuri tofauti na walamba lips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah sijisifii lakini basi tuSijui kwanini wanaume wasio ma hechibii huzaa vitu vizuri tofauti na walamba lips
Wanakariri tu wajinga kabisaHahaaa wamesahau tu kuhusu biology hawa viumbe
Yale majipu sijui mapele umesahau mwaka juzi[emoji848][emoji848]Kwani kuna umeme Tundani?
To be honest sijawahi kichezea mtoto wa mtu zaidi ya waliovuka utoto so sina hatiaHahahahahha!ukila vya watu kubali kuliwa kaka tulia tuu!!utafurahi mbonaa
Aseee[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Codes za wambea wa jf jmn, shangazi wa bongo movie??
Hongera Mungu atunze na wa kwetuTo be honest sijawahi kichezea mtoto wa mtu zaidi ya waliovuka utoto so sina hatia
Prime Minister (PM)Inbox za jf zinaitwaje?!!!ndo unganisha codes!
Amina, tena mimi nikikukuta me anasumbua mwanafunzi..mtoto wa mtu hakuna rangi utaacha kuonaHongera Mungu atunze na wa kwetu
Yule jamaa anatumia mjini IG anatumia Id a triple 7 wamjua...?!!ndo danga la tessy kwa sasa...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]naenda oga miye mida ya kulala........!!!!!!!Amina, tena mimi nikikukuta me anasumbua mwanafunzi..mtoto wa mtu hakuna rangi utaacha kuona
Wacha wee[emoji23][emoji1787][emoji1787]Lakini hao mademu wenu wa mjini ilala, wanafata machine huku bunju kila siku.. 🙂🙂🙂
Mkuu hii ni story au kweli CK kuuza Chips, kwa level alizofika, connection na alikuwa muajiriwa kufulia mpaka huko ngumu.Hata CK wa wema naye akaja kufulia mpaka akaanza kuuza chips.
Mwenye trpple 7?HahhahahaYule jamaa anatumia mjini IG anatumia Id a triple 7 wamjua...?!!ndo danga la tessy kwa sasa...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]naenda oga miye mida ya kulala........!!!!!!!
Ni vigumu kuelewa yani ila ndio hivyo 😅Hahaaa kweli wanaume mna vipaumbele vyenu sisi wanawake hatuelewi kamwe. Unampendeaje mtu tako na macho yake tu aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine hilo libaunsa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume huwa tunateseka sana Shi.. naye wakusumbua mtu?
Mimi na prefer natural zaidiVaa hata kigodoro[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah sijisifii lakini basi tu
Aliuzaga haya magari yote au😅😅😅Wema alibugi enzi za CK wa ikulu ,kile kipindi ndio alitakiwa atoke kimaisha , kwenye garage ya wema alikuwa na ndinga kama nne ,Q7,Harrier Pink,Mark X na Murano ,samani za ndani worth 50m ,endless fame company , receptionist anatumia mac ya milioni 4,amechezea maisha sana NYUMBU.
Khaa hayo ni matumizi mabaya ya pesa ub..o..oImagine hilo libaunsa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawajui kuwa mtoto anapata Gene's kutoka wazazi wote wawiliWanakariri tu wajinga kabisa
Una cushion au vinazi 😅😅😅Mimi na prefer natural zaidi