Yaaaan nmetoka kidogo narud hata sielew[emoji3][emoji3]jukwaa lilipoa nyuzi inatembea balaa!afu aloweka sridi wala kahama!!
πππHili jukwaa inabidi nilitembelea mara nyingi niwe mzoefuAiseeee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16]
Wewe mbea wa faida lkn hapa umeniacha, nakujia eeEwaaaa!!umepata 100%kunywa Savannah bill kwangu!Weee shosti ndo huyo huyooo!mshikaji ana mzigo balaaaa wa mbesaa tena alimhamishia nyuu housi...upoooo?!!!!!!bidada yule akaendekeza umalaya bwanaa!kaingiza kiben10 ndani kumbe nyuma ina CCTV analiwa Mme anaona mchezo woteee!
Talaka 3 si mke wangu...upooooo.!!!!!?!!!!!
Ingawa yule mshikaji mdogo lakini mpungo anao wa kuoa kikongwe kama yule alogoma kutulia wakati alistiriwa maskini..
Mwee kweli kunguru hafugikiiii!!!
Mzee ana punguza umaskini kwa warembo wa bongo movie kwa tozo zetuMzee baba kumbe nae si haba! Anamwaga moto kinyele kinyele [emoji28]
Dada ake na basha la Aunt la zamani lililokuwa linambonda mpaka akamiscarriage
Karma naskia hajampa hata 100% na anamsainishaga mikataba ya kichif mangungoo!!kila kitu yeye mwenziwe hapati kitu!!upooo nyonyo?!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]mpk wale matwins ye ndo alikua anawalea!!!mshenzi yule dada mnooo!!!Watu wanapenda umbeya hatari Uzi una comments nyingi na ndio unao trend huu.
Huyo neema ndepanya kamzulumu nini nyumbu?
Wataanza kupishana mapokez ukiingia natokaNa ndo anakutana na mama zake mawindoni wamegoma kuzeeka
HahaaaaShangaa na wewe mkuu code kama hizi utaweza kufungua kweli labla uwe mbea sugu nimeamua kusoma commets bila kuelewa mhusika[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii nimeifungua sio ngumuπππAnaishi wapi sasa hivi
Maana pale alikuwa analipiwa na zero brain mitako
Ajaaaajaaaaahaaajaaa[emoji848][emoji848][emoji16]Ewaaaa!!umepata 100%kunywa Savannah bill kwangu!Weee shosti ndo huyo huyooo!mshikaji ana mzigo balaaaa wa mbesaa tena alimhamishia nyuu housi...upoooo?!!!!!!bidada yule akaendekeza umalaya bwanaa!kaingiza kiben10 ndani kumbe nyuma ina CCTV analiwa Mme anaona mchezo woteee!
Talaka 3 si mke wangu...upooooo.!!!!!?!!!!!
Ingawa yule mshikaji mdogo lakini mpungo anao wa kuoa kikongwe kama yule alogoma kutulia wakati alistiriwa maskini..
Mwee kweli kunguru hafugikiiii!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Wema amekuwa kama fido dido[emoji28]
Yes hii malikia wa nguvu huwa nikudaganyana tu huyo shishi kafungua had mgawaha idodomiya huko ndio maana uchebe alimdundaHalafu atatokea mtu aongelee michongo ya malikia wa nguvu wakati kuna vigogo wanamwaga viswaufu kuboost mitaji[emoji28]
Mawingu hua hawachez bureHalafu wanapewa tuzo na mawingu Fm
Huyo demu si alikuaga mlokole πBongo movie wana angalia uzuri, sura,makalio nk na kwa wanaume mashombe shombe, walamba lips kibao.Nilichoka siku moja na tizama mziki Maisha Magic Bongo nikaona trailer, mpaka Nicole Joyberry nae muigizaji ππ, yaani bongo movies siku hizi talents hawa angalii kabisa.
Tena baada ya kuchambwa na Mange ndo akaanza kupata akili maana bi Sandra alipiga stooop asilipiwe pango kule bahari beach!ndo kuhama bibie plus vichambo kakaumbuka kujenga na kufanya maisha yake..Wanaita kudanga kwa Weledi
Nyie si mnaonaga K ni mtaji?Ajaaaajaaaaahaaajaaa[emoji848][emoji848][emoji16]
Asee
Yule jamaa ni handsome la kutupwa kumbe pia mpunga upo?
Asee huyo dada namuonaga kichwa kumbe malaya malaya[emoji848][emoji848]
Sasa katupwa na kichanga chake masikini[emoji22]
Asee mwanaume sio wa kushindana nae
Mahawara zaoHalafu wanapewa tuzo na mawingu Fm
Aseee kasema sio huyo ...ni bwana ake mama wa vipodozi ila yeye ni ana michunusi balaa[emoji16][emoji16][emoji23]Asalaleli hapo umenifungua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaaaan nmetoka kidogo narud hata sielew
Mko wapi mnaspeed ya balaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mwenye sired akija hata Hana hamu
Anarud kimyakimya alikotoka[emoji1][emoji1][emoji1]
Ndio maana hayati mkurugenzi mtendaji pale mawingu alikuwa anawapelekea moto tu na kuwasainisha THTYes hii malikia wa nguvu huwa nikudaganyana tu huyo shishi kafungua had mgawaha idodomiya huko ndio maana uchebe alimdunda
Kabisa Aseee[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Hili jukwaa inabidi nilitembelea mara nyingi niwe mzoefu