Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Ajaaaajaaaaahaaajaaa[emoji848][emoji848][emoji16]

Asee

Yule jamaa ni handsome la kutupwa kumbe pia mpunga upo?

Asee huyo dada namuonaga kichwa kumbe malaya malaya[emoji848][emoji848]

Sasa katupwa na kichanga chake masikini[emoji22]

Asee mwanaume sio wa kushindana nae
Angetulia asitirike na yeye au kunguru hafugiki
 
Yaani yule dada wenziwe kwanza
Walikua wanamuonea choyo alivoolewa na kaka handsome na anajiweza
Pili alikua anapendwa mama kila kitu anapewa na watoto wake wanahudumiwa na baba wa watu
Unaolewa unaenda ishi kwenye lijumba la kifahari vileee

Sasa wanafurahia balaa wanamcheeekaaa wanasema akome umalaya kizee kile[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]!!!!
Sasa nje alikuwa anatafuta nini daah[emoji134][emoji134]

Wanawake bana
 
Inaonekana price breaker na whozu walishauriana utumbo ila braza ikala kwake [emoji28][emoji28][emoji28] mapema sana!
Mobeto Style amempiga Tae Kwondo moja matata pricebreaker ikamtachi!
Hahaaa na hyo tae kwondo sio ya nchi hii aisee, alitaka kumfanya mwenzake awe single mom watoto watu eti kwa kumvisha na pete na duka azaliwe mtoto wee dhubutu
 
Hahaaa price breaker naye akaamini mobeto atamzalia kweli ili amharibie biashara ya kudanga, Matokeo yake akaachiwa manyoya
Inaonekana price breaker na whozu walishauriana utumbo ila braza ikala kwake [emoji28][emoji28][emoji28] mapema sana!
Mobeto Style amempiga Tae Kwondo moja matata pricebreaker ikamtachi!
The man was serious demu kazingua[emoji3][emoji16][emoji3]haaamini mpk Leo shheeeenzi kabisaaa!yaani km Bruce leee kamtia huuu...haaa!!kawaza time interval ya mimba na malezi kaona akuuuu...ngoja nidange pooh kwanza watoto nnao then wana bima kubwa kapiga chini
 
Hahahahah hivi Mrs. Nenga nae vipi ndio kwamba maji yalishamwagika ama wanaendelea na project zao za kiyunani [emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yule maji yalishamwagika alaf
Naona jamaa wa kupanda dau
Labda hawajafka

Maana nenga alikua anaonekana
Kama kina whoz Tu na wenzake
Hapo ndo naona Mrs hawez lea yy anataka
Kulelewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom