cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Huyo waziri wa nyumbus ndo aliharibia mwenzake kwa jabali, Matokeo kamponza mwenzake yuko benchi mpaka sasa hivi.[emoji849][emoji849][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]kumbee!!!!ndo maana katupwa kama jongoo na mti wakee!loo
Halafu yule alokuwaga wa wanyama pori alotemwa utawala ulopita akaingia kwenye beef na mo bahili...!!!baasi yule bwana nae mgonii balaa....!!!!
Na huyu Waziri nyumbus sasa katulia kile cheo chake kilikuwa kinampa access na totoz