Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Phase 4 ni mwingi sana kawahi mfukuzia classmate wangu akiwa olevel
 
Hatari hao wadada walimdunda mwenzao ila alikuwa na focus na target zake, Mimi mtu akinidunda kisa mumewe ndo simwachi nazaa na mtoto kabisa na mumeo loh
 
Wake zao wanaliwa balaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!acha kabisaaa yaani ni mbwa kala mbwa!!
Nakubaliana na wewe,Kuna jamaa kwao Ni kigoma,wanaukaribu wa kifamilia na kigogo mmoja hv,jamaa akapata mchongo wa kumuendesha mama,imeenda kumbe mama kamtamani huyo jamaa...
Maza akawa anamletea mapichapicha mshikaji, jamaa alivyombugila kaenda kumsanua mzee kumuambia maza anamletea ndivyo sivyo....

Hv ninavyoongea mchizi karudi kwao kigoma anaendesha fuso

Mzee kampiga biti asikanyage mjini

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Hatari hao wadada walimdunda mwenzao ila alikuwa na focus na target zake, Mimi mtu akinidunda kisa mumewe ndo simwachi nazaa na mtoto kabisa na mumeo loh
Hahhahaaa...wametikisa wale mjiii acha tu!
Yaani unipige kisa mmeo kwani nilimuita?!!!hahaha unazaa kabisa
 
Wewe jamaa sikuwezi! Naomba nikupe tano za nguvu! Kama ni jeshini basi wewe ni Luteni General
 
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].....!!!!!!
Wewe jamaa sikuwezi! Naomba nikupe tano za nguvu! Kama ni jeshini basi wewe ni Luteni General
Alikua ea bunge akawa ana critisize sana ccm hakujua jamaa yukoje

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Kumbee!akamueka benchi kwanza ili apinge vzr!!!
 
Wewe IGA ufungue duka kama hilo jirani kama hujala hasara utajuta, wenzio wanakuchora tu. Kazi yao kujaza risiti feki na kupeleka hela za mauzo benki lakini siyo mauzo ya nguo ujue. Utashangaa mtu anakuambia ana b4 benki utabaki mdomo wazi.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Naibu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…