Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
We jamaa,mbona unajua mambo mengi sana ya phase 4?? Ni kweli pale shytown,phase 4 ana mtoto wake pale anaitwa Jemima Mrisho kama sijakosea jina! Phase 4 alimfungulia stationery hivi karibu na kampuni ya Nchambi's, halafu yule demu hua anasema kabisa kwamba mshua wake ni phase 4!

Lakini phase 4,hajawahi kua minista wa difensi,yule kapiga Maji,Fedha, Foreign na ile post ya juu
Phase 4 ni mwingi sana kawahi mfukuzia classmate wangu akiwa olevel
 
Mnooo nakuambia yule na magi...e hatari wale wa kanda ya ziwa ni wanakula vichwa km vinyoziii....Yaap alimteka kumkomesha maana alikua anatembea na mmewe akapewa kisago kitakatifu haswaaa...!!!
Enzi hizo hapa jijini kulikua na kundi linaitwa Alqaeda,kulikua na yule Dada wa ICU,yule Dada semaji la mnyamaa aka Mrs Tyson,Mrs Kiroboto na the late Mrs mpknjia hao bwana wakijua unachuka Mme au bwana wao wanakuteka na kukudunda balaa!!!jiji hili bwana lina meengi sana!!
Hatari hao wadada walimdunda mwenzao ila alikuwa na focus na target zake, Mimi mtu akinidunda kisa mumewe ndo simwachi nazaa na mtoto kabisa na mumeo loh
 
Wake zao wanaliwa balaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!acha kabisaaa yaani ni mbwa kala mbwa!!
Nakubaliana na wewe,Kuna jamaa kwao Ni kigoma,wanaukaribu wa kifamilia na kigogo mmoja hv,jamaa akapata mchongo wa kumuendesha mama,imeenda kumbe mama kamtamani huyo jamaa...
Maza akawa anamletea mapichapicha mshikaji, jamaa alivyombugila kaenda kumsanua mzee kumuambia maza anamletea ndivyo sivyo....

Hv ninavyoongea mchizi karudi kwao kigoma anaendesha fuso

Mzee kampiga biti asikanyage mjini

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Hatari hao wadada walimdunda mwenzao ila alikuwa na focus na target zake, Mimi mtu akinidunda kisa mumewe ndo simwachi nazaa na mtoto kabisa na mumeo loh
Hahhahaaa...wametikisa wale mjiii acha tu!
Yaani unipige kisa mmeo kwani nilimuita?!!!hahaha unazaa kabisa
 
Hahaa..yaani uko sahihi kabisa then nilitaka kuandika kua amemfungulia mpk stationary looh!we nae uko juu balaa

Then nimekosea sio difensi ni minista wa nje kaahh!
Ana mwingine phase 4 kwa sasa ni soja yuko Wilaya ya Mheshimiwa DC anaetoka na Price breaker kwa sasa..siwezi mtaja jina dogo kwa kulinda heshima yake na ushkaji wake kwangu...!!then huyo dogo ana undugu na yule mtangaza wa the clean radio anatumia jina lenye mwezi wa sikuu ya wajinga ni half siblings!!!
Maza ake alimpaga hisani pale Chanel ya taifa ila the late stone alivoingia kamtumbua kwa vyeti fekii!!!!!
Wewe jamaa sikuwezi! Naomba nikupe tano za nguvu! Kama ni jeshini basi wewe ni Luteni General
 
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].....!!!!!!
Wewe jamaa sikuwezi! Naomba nikupe tano za nguvu! Kama ni jeshini basi wewe ni Luteni General
Alikua ea bunge akawa ana critisize sana ccm hakujua jamaa yukoje

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Kumbee!akamueka benchi kwanza ili apinge vzr!!!
 
Kaka kula tano, halafu kweli jamani ujue Mara kwa Mara nakua mitaa hyo lakini sioni wateja madukani mwao ila nashangaa wamepaki magari makali,wanaishi good life [emoji38][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]daaahh!mjini kuna mambo!partee afta partee everee deiii!!!
Wewe IGA ufungue duka kama hilo jirani kama hujala hasara utajuta, wenzio wanakuchora tu. Kazi yao kujaza risiti feki na kupeleka hela za mauzo benki lakini siyo mauzo ya nguo ujue. Utashangaa mtu anakuambia ana b4 benki utabaki mdomo wazi.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa,mbona unajua mambo mengi sana ya phase 4?? Ni kweli pale shytown,phase 4 ana mtoto wake pale anaitwa Jemima Mrisho kama sijakosea jina! Phase 4 alimfungulia stationery hivi karibu na kampuni ya Nchambi's, halafu yule demu hua anasema kabisa kwamba mshua wake ni phase 4!

Lakini phase 4,hajawahi kua minista wa difensi,yule kapiga Maji,Fedha, Foreign na ile post ya juu
Naibu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe,Kuna jamaa kwao Ni kigoma,wanaukaribu wa kifamilia na kigogo mmoja hv,jamaa akapata mchongo wa kumuendesha mama,imeenda kumbe mama kamtamani huyo jamaa...
Maza akawa anamletea mapichapicha mshikaji, jamaa alivyombugila kaenda kumsanua mzee kumuambia maza anamletea ndivyo sivyo....

Hv ninavyoongea mchizi karudi kwao kigoma anaendesha fuso

Mzee kampiga biti asikanyage mjini

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom