Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Weka buana kwansh ngapi.....
 
Tessy mzuri ila kajiachia kanenepa nyonyo ka lote Plus ile miguo yake mikubwa ina muzeesha wakati ni mzuri tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu kuna siku kajitutumua kupost jipost reeeefu eti she is comfortable, hajisikii sijui vibaya kuwa na watoto wa baba tofauti..... akaanza kupambwa na wenzie kina mama jujuju
Hicho nacho kichomi tu,kina jidai motivesheno sipika,kumbe hamna kitu,sheby bila yakua na mkwanja wala kasingeenda kuolewa naye! Lunch Mario kalimsagia kunguni pale mawinguni akafutwa kazi! Roho mbaya tu,ndiyo maana hakinenepi
 
Hahaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!!yaani ht kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kuna watu wana mambo ya chinichini hatariii km yule mtangazaji mwenye jina la vazi la kike aliyewaacha wake zake ujue ana danga lake huko mbele ss haijulikani km ni bisexual au mchicha mwiba
Atakuwa mchicha bwax huyo hafu toka ametoka redio number moja alikoenda amekuwa na kiherehere ka nini, pia waja wadai eti anaweza kuwa donkey wa Yale mambo ya ngau
 
Jeuri yule kuna mkaka alisemaga yule sio mwanamke wa kutoa yule ni kuchapa unasepa
Ni jeuri balaaa,yaani kibri haswaa....!!!
Hivi huyo spokeswoman naye kumbe ni moto wa kuota mbali maana naona kila mtoto na babake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu kuna siku kajitutumua kupost jipost reeeefu eti she is comfortable, hajisikii sijui vibaya kuwa na watoto wa baba tofauti..... akaanza kupambwa na wenzie kina mama jujuju
Mashosti lazima wamtie ndimu,we mule wale wananafikiana sana wale!mama jujuju yule hanenepi kwa roho mbaya!yaani kaone vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mwenyewe hana Mme,mtoto atapata wapi Mme zaidi yakudanga tu,sema yeye udangaji wake ni wakificho sana,sio kama tutusa Kajala! Binti ana kiburi shetani anasubiri!
Bimkubwa ake kaolewa km 10yrs ago hivi!ila demu ana kibri yule hayat Otieno ndo anajua na yule baba wa pili wa mtoto alichomfanya hana hamuu;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu wataje tu bana
 
[emoji28][emoji28]..
Mkuu unanvunjia heshma,,
Mimi alwatan kbsa ilala hii,
Mawakaribisha na kuwaaga wakuu wote wa mikoa toka enz izo.
Code simpooo ,nenda Zanzibar taja visiwa,Ingiza jina la mcheza movie za kichina yule chalechale then chukua jina la mwanzo na la kisiwa cha kule makunduchi,mtafute sista ake huyo mshikaji Google! Usipoelewa hapo mi nakuvua vyeo vyote vya kukaa ilala hii ya mtaa wa Arusha na kwa yule muuza chips maarufu wa enzi hizo jina limentoka kidogoo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho nacho kichomi tu,kina jidai motivesheno sipika,kumbe hamna kitu,sheby bila yakua na mkwanja wala kasingeenda kuolewa naye! Lunch Mario kalimsagia kunguni pale mawinguni akafutwa kazi! Roho mbaya tu,ndiyo maana hakinenepi
Sheby ana mpunga? Wakati wanaoana nilisikia ni dei waka tu mjini, dada ndio analea kumbe sio hivo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…