Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Pale alikua pazuri na sapoti juu kwa kipindi kile yupo kitengo afya maisha haya nyie...[emoji1]Huyo huyo wa waja Leo warudi leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale alikua pazuri na sapoti juu kwa kipindi kile yupo kitengo afya maisha haya nyie...[emoji1]Huyo huyo wa waja Leo warudi leo
🙄🙄 Hivi si ana wake wawili, kwahiyo akiwa bongo mme wa watu, akiwa mbelezzz mke wa watu?!!!! ChinekeeeeYaani kuna watu wana mambo ya chinichini hatariii km yule mtangazaji mwenye jina la vazi la kike aliyewaacha wake zake ujue ana danga lake huko mbele ss haijulikani km ni bisexual au mchicha mwiba
Sio matajiri tu hadi lidas aiseee hebu mdomo koma kwanza tusijechomoa betri humu tukasombwa na kimbunga jobo [emoji3][emoji3][emoji3]Daaaahh!siwabanii naogopa Mimi serious ujue yaani watoto wa kiume wana tamaa Sana'a[emoji52][emoji52][emoji52][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]ukiambiwa huamini yaani nilishika kichwa ukiacha hawa machoko ambao wako open kuna mengine yaani sio tetesi ni ukweli kabissa yaani halafu hawa matajiri sijui ni maagano ya waganga waoo ndo maana wanafanya ufirauni huo....!!!
Mungu tunusuru ila hali ni mbaya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechoshwa na drama za waume zao, bora punda afe ila mzigo ufike.Sikuhizi baadhi ya wake za watu wapo vzr[emoji3]
Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Wake alishapiga chini wote nje sijajua km anakua mme bado au mkeee[emoji849][emoji849] Hivi si ana wake wawili, kwahiyo akiwa bongo mme wa watu, akiwa mbelezzz mke wa watu?!!!! Chinekeeee
Uwiii nimesahau alishatoka mawinguni yupo kule kwa Mr singeliWa mawinguni ni yupi uyu?
Kumbe ndoa zote zilishadanja tehWake alishapiga chini wote nje sijajua km anakua mme bado au mkeee
Minister msanii? Hii nimeambiwa ni ya maperamihogo tayari auYule msanii
Zanzibar kuna visiwa vingapi!??kile cha Ukawa sasa,yule wakala wa kupeleka vipaji zamani ulaya alikua jina lake la ukoo kisiwa cha kule kwa Maalim seif,ana Dada ake ndo huyo sasa!Hii code ya huyu mdada sijaijua mpaka sahvi ndugu
Nimempata ndugu sijui ndiyo wenge ,udaku nao jamani![emoji23][emoji23]hyo rahisi hivo umemusahau yule Dr Year anayejifanyiaga promo mara clouds ana wake kibao
Doh....noma na nusuUwiii nimesahau alishatoka mawinguni yupo kule kwa Mr singeli
Kaaa[emoji52][emoji2][emoji2][emoji2]acheni bassi!yaani sijui nifungue vipiMimi mwenyew mkuu hapa nimeachwa sentimita nyingi
Maperamihogo ndio nini hii[emoji23][emoji23][emoji23]Minister msanii? Hii nimeambiwa ni ya maperamihogo tayari au
Nimempata mkuu asante [emoji12]Weka hilo neno kwa lugha ya kiswahili
Uko busy siasani naskia unadai katiba mpya etii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Nikirudi ipo page 200[emoji16][emoji16], witty falah sana hivi kwanini hajaniita..... witnessj uliona ukiniita kuserema ntafaidi [emoji57]
Huyo soon ataona numberMoyo wauma kodi zetu wananchi zinachezewa siye....Leo hii Mimi kutoa elf10 nikatwe buku mbili kweli?!!!Mungu anawaonaaa hawa lidaz na watalaaniwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yule na yule cheupe dawa walikua hawaelewani kimtindo yule ndo akaona ajibebeshe kibendi ndwiii!!!!Pale alikua anajojoa pazuri na sapoti juu kwa kipindi kile yupo kitengo afya maisha haya nyie...[emoji1]
Wali waliwa dadaaa...mchicha mwibaaa![emoji849][emoji849] Hivi si ana wake wawili, kwahiyo akiwa bongo mme wa watu, akiwa mbelezzz mke wa watu?!!!! Chinekeeee
Ma.Peramiho.Go.Maperamihogo ndio nini hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru nishaipata si uñajua tumekuja mjini juzi tu![emoji3][emoji3]Border ni (Mpaka)! Na way ni (njia)! Sasa unganisha maneno yaliyo kwenye mabano