Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Yaani kuna watu wana mambo ya chinichini hatariii km yule mtangazaji mwenye jina la vazi la kike aliyewaacha wake zake ujue ana danga lake huko mbele ss haijulikani km ni bisexual au mchicha mwiba
🙄🙄 Hivi si ana wake wawili, kwahiyo akiwa bongo mme wa watu, akiwa mbelezzz mke wa watu?!!!! Chinekeeee
 
Daaaahh!siwabanii naogopa Mimi serious ujue yaani watoto wa kiume wana tamaa Sana'a[emoji52][emoji52][emoji52][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]ukiambiwa huamini yaani nilishika kichwa ukiacha hawa machoko ambao wako open kuna mengine yaani sio tetesi ni ukweli kabissa yaani halafu hawa matajiri sijui ni maagano ya waganga waoo ndo maana wanafanya ufirauni huo....!!!
Mungu tunusuru ila hali ni mbaya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio matajiri tu hadi lidas aiseee hebu mdomo koma kwanza tusijechomoa betri humu tukasombwa na kimbunga jobo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom