Kashaachana na wake zake[emoji849][emoji849] Hivi si ana wake wawili, kwahiyo akiwa bongo mme wa watu, akiwa mbelezzz mke wa watu?!!!! Chinekeeee
Tumia codesSio matajiri tu hadi lidas aiseee hebu mdomo koma kwanza tusijechomoa betri humu tukasombwa na kimbunga jobo [emoji3][emoji3][emoji3]
Sheby ana mpunga, katelefone ni mjomba wake kabisa! Na ndiyo kakuliwa na kulelewa na katelefoneSheby ana mpunga? Wakati wanaoana nilisikia ni dei waka tu mjini, dada ndio analea kumbe sio hivo?
Inawezekana aisee maana sahv watu wamejaa tamaa sanaaAtakuwa mchicha bwax huyo hafu toka ametoka redio number moja alikoenda amekuwa na kiherehere ka nini, pia waja wadai eti anaweza kuwa donkey wa Yale mambo ya ngau
Mnashiriki kufanya ugaidi[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]sasa kumbe toka juzi huonekani kama hukua unadai katiba mpya ulikua wapi?!!
Sisi tutakupa pole tu maana pale tukija tunaogopa kuambiwa tunashirikiana na wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maperamihogo yupo, pia tochara na yule msanii ndo alikuwa kipoozeo cha mwishoni mwishoniMinister msanii? Hii nimeambiwa ni ya maperamihogo tayari au
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimempata ndugu sijui ndiyo wenge ,udaku nao jamani!
Hivi mbona kajilipua teh au nae wale wale....mama juujuu si nanii yule???Sheby ana mpunga, katelefone ni mjomba wake kabisa! Na ndiyo kakuliwa na kulelewa na katelefone
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16]sio kwa kodi hii lakini nimeelewa...hakuna bwaanaa...mchicha mwiba tuu!!!Kwenye hili la wakaka kuliwa ni shida mno! Ukipewa list yake,unaweza hama Tanzania,huyu mwenye vazi la kike,watu hua wanasema eti ni mwana eagle house pale osybey nyuma ya dstv ya zamani,lakini watu wakapekecha file,wakapata data zake! Hata semaji staafu la lion nalo shida tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maperamihogo ndio nini hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitu sio bure, kwamba wanawake wote wana matatizo....tehKashaachana na wake zake
Alijiloga kujibebesha kibendi Matokeo yake anajuaSasa yule na yule cheupe dawa walikua hawaelewani kimtindo yule ndo akaona ajibebeshe kibendi ndwiii!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi naogopa kuwamention nasubiri mpk mtu mmoja ajipopoe mi niongezee maana uzi una viewer's 58k sio masiharaa etii!![emoji56][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji56]Kwenye hili la wakaka kuliwa ni shida mno! Ukipewa list yake,unaweza hama Tanzania,huyu mwenye vazi la kike,watu hua wanasema eti ni mwana eagle house pale osybey nyuma ya dstv ya zamani,lakini watu wakapekecha file,wakapata data zake! Hata semaji staafu la lion nalo shida tu!
Ha ha ha ha! Kumbe[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16]sio kwa kodi hii lakini nimeelewa...hakuna bwaanaa...mchicha mwiba tuu!!!
Hata sio anonimaz wala nini!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wanavyosema mwenye festival zake nae naniiiiiHivi mbona kajilipua teh au nae wale wale....mama juujuu si nanii yule???
Ila pia kukaa kwa anko tajiri sio lazma nae awe nazo usikute anaosha tu gari la anko anapewa za kahawa
Mfyuuuu umekuja kufanya nini huku, wewe ndo mumbeya
Ni noma! Ila unaweza tembea na codes tu, wenye kunga'amua wataweza!Mimi binafsi naogopa kuwamention nasubiri mpk mtu mmoja ajipopoe mi niongezee maana uzi una viewer's 58k sio masiharaa etii!![emoji56][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipnd kile alivyopewa wizars ya minerals ndo akajua baasi ashamaliza kila kitu hakujua km jabali ni mwingi wa visasi na malipiziAlijiloga kujibebesha kibendi Matokeo yake anajua
Hiyo gheresha tu km mvua za vuliKwenye hili la wakaka kuliwa ni shida mno! Ukipewa list yake,unaweza hama Tanzania,huyu mwenye vazi la kike,watu hua wanasema eti ni mwana eagle house pale osybey nyuma ya dstv ya zamani,lakini watu wakapekecha file,wakapata data zake! Hata semaji staafu la lion nalo shida tu!
Kabisa aiseeeeeHiyo gheresha tu km mvua za vuli