Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Wengi hujificha kwa kujifanya Wana eagle sijui DStv ili kufanya uchafu wao tu Wana eagle wa kweli ni difficult ku predict
Kabisa! Wana eagle house huwezi wajua kijinga jinga vile,mara baba Mzungu,sijui nini
 
Kipnd kile alivyopewa wizars ya minerals ndo akajua baasi ashamaliza kila kitu hakujua km jabali ni mwingi wa visasi na malipizi
Na akabeba na mimba hafu waja wakawa Wana mzihaki jabali ukichangia alikuwa mke wa mtu basi ikawa shida sana, jabali akaona cha kufia kitu gani akafyekelea mbali
 
Wewe labda kanunua juzi baada ya kuchambwa na mashosti zake,maana walikua wanamcheka yeye na wema kua hawana lolote.

Wema kwa sasa kaishiwaa kaenda kukaaa Mbagala kuuu huko hana lolote na anajutaaa kukata utumbo yaani anajutaa mnoo maana hana soko tena wanaume walikua wanataka manyama nyama.

Wakaja kwa Uwoya wakasema muache amwage hela hata kiwanja hana wanaringia nyumba za wazazi wao tu mjini!

Yaweza kua amenunua baada ya kuona watu wanamshambulia sana

Kanunua nje ya mjini sio prime location ni shamba lile , kwa hela anazochezea alikua na uwezo wa kununua viwanja au nyumba mbezi beach akajenga villa za kuuza au kupangisha na yeye akaishi kwenye villa moja
 
Itakuwa wema sikuhz kachunda maana hadi ck kumuelewa ni alimpa matashtiti balaa, na wengne waliopita wanasema ni km alikua ana jini mahaba akifika kwa bed[emoji3]
Dah. Namhurumia sn Wema maskin sijui karogwa au mitihani tuu ya Dunia... You are right!! Inaweza Ikawa ni rumors tu maana Diamond alipagawishwa sana na Wema!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom