cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
House boy huyoHivi mbona kajilipua teh au nae wale wale....mama juujuu si nanii yule???
Ila pia kukaa kwa anko tajiri sio lazma nae awe nazo usikute anaosha tu gari la anko anapewa za kahawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
House boy huyoHivi mbona kajilipua teh au nae wale wale....mama juujuu si nanii yule???
Ila pia kukaa kwa anko tajiri sio lazma nae awe nazo usikute anaosha tu gari la anko anapewa za kahawa
Wanawake yaliwashinda na wake wote hao ana only one kid, hapo jiulize kulikoni?Kuna kitu sio bure, kwamba wanawake wote wana matatizo....teh
Uzi huu una views nyingi kweli watu wapenda ubuyuMimi binafsi naogopa kuwamention nasubiri mpk mtu mmoja ajipopoe mi niongezee maana uzi una viewer's 58k sio masiharaa etii!![emoji56][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Code zenyewe ngumu sehemu nyingi unapita tu kuuliza uliza mpaka unaonekana form six 0 ,[emoji13]Pg 1 hadi 85 nimesoma....ehuuu ninywe maji kwanza
Jiwe gizani, pole mkuuMalaya watupu wa sinza na kino ndio mmmejazana humu mnajadili maisha ya watu
Kabisa! Wana eagle house huwezi wajua kijinga jinga vile,mara baba Mzungu,sijui niniWengi hujificha kwa kujifanya Wana eagle sijui DStv ili kufanya uchafu wao tu Wana eagle wa kweli ni difficult ku predict
Na akabeba na mimba hafu waja wakawa Wana mzihaki jabali ukichangia alikuwa mke wa mtu basi ikawa shida sana, jabali akaona cha kufia kitu gani akafyekelea mbaliKipnd kile alivyopewa wizars ya minerals ndo akajua baasi ashamaliza kila kitu hakujua km jabali ni mwingi wa visasi na malipizi
Binti atafata tu hicho kitabia, ni ka kajala alivo wasumbua wazazi wake na Paula naye alianza kumsumbua mapema tuAshukuru walau binti ake anajielewa, asifate nyayo....kuzaa zaa hivyo hata sio ishu kwakweli
Mie kila nikichekecha mmm natoa macho tu kama mzee wa jalalani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatimaye nimeidaka hii code ya katelephone....basi Inshalaaaaaah....
Agha khani kuzaa kwa operation karibia milion sita na kitu hivi sio hela ndogo lohHivi pale private si laki sita au alikaa siku nyingi?
Hivi hyo Case yake na Ford ranger imeishaje aiseeHuoni wale mashoga zake alivyowagombanisha hadi wakapatana halafu ford si alimpeleka polisi
Wahuni hao wakutaka wajulikaneKabisa! Wana eagle house huwezi wajua kijinga jinga vile,mara baba Mzungu,sijui nini
Wewe labda kanunua juzi baada ya kuchambwa na mashosti zake,maana walikua wanamcheka yeye na wema kua hawana lolote.
Wema kwa sasa kaishiwaa kaenda kukaaa Mbagala kuuu huko hana lolote na anajutaaa kukata utumbo yaani anajutaa mnoo maana hana soko tena wanaume walikua wanataka manyama nyama.
Wakaja kwa Uwoya wakasema muache amwage hela hata kiwanja hana wanaringia nyumba za wazazi wao tu mjini!
Yaweza kua amenunua baada ya kuona watu wanamshambulia sana
Hivi inakiwaje mastaa hawana ukimwi? Walivyo malaya vile? Huyu akitoka yule anaingia vip mbona hatuna taarifa za wathirika mastaa?
Irene kanyimwa akili aiseeKanunua nje ya mjini sio prime location ni shamba lile , kwa hela anazochezea alikua na uwezo wa kununua viwanja au nyumba mbezi beach akajenga villa za kuuza au kupangisha na yeye akaishi kwenye villa moja
JackungujaZanzibar kuna visiwa vingapi!??kile cha Ukawa sasa,yule wakala wa kupeleka vipaji zamani ulaya alikua jina lake la ukoo kisiwa cha kule kwa Maalim seif,ana Dada ake ndo huyo sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo si Mr wake mudhungu au mudhungu pori?
Mwaka gani ? Sasa hivi zipo za kufa mtuMasaki mchezo? Kuna mtu aliniambia ana m800 nikamtafutie nyumba ya kununua nikajua hapa lazima nitoboe kamisheni nipate hata crown, nilimaliza soli pea za kutosha sikuambulia kitu.
Dah. Namhurumia sn Wema maskin sijui karogwa au mitihani tuu ya Dunia... You are right!! Inaweza Ikawa ni rumors tu maana Diamond alipagawishwa sana na Wema!!Itakuwa wema sikuhz kachunda maana hadi ck kumuelewa ni alimpa matashtiti balaa, na wengne waliopita wanasema ni km alikua ana jini mahaba akifika kwa bed[emoji3]
Duh. Kufinyia kwa Inside🤣🤣Mtoto Eliza ile miundombinu yake ya uso tu anaonekana anaifinyia kwa inside 😅 maana ana tu lipz twa mapenzi tele!