Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hakuna Hata cha kumridhisha pesa tu na ustaaa mjini baasi na hivi hana nyotaaa,alikua anatembelea vibe la wasafi!!!
Rayvan inaelekea alimkuna vizuri sana.
[emoji3][emoji3][emoji3]muache siye tupoo..mnyaki mshamba wa mapenzi yule!!
Hapo ndo wanamshikia ray
Badae ndo atakumbuka Ile kauli mchumba hasomeshwi!
Yule mwanamke bado anamtaka Sana
Van maana anaona pale kuna pesa so pesa
Za mtoto matumiz ndo anataka azivune
Ndo maana hata kuchafua CV yake
Anajua Kwa Paula n kama njia Tu ya kupita
Kutokea barabaran
Kabisaaa fahima anaona bora atulie ahudumiwe Vanboi kwa mwanawe anajitahidi sana kuhudumia Hata Fahima amekula sana gudtime ndo maana anapagawa kutemwa na ametemwa kwa ujinga wake..

Unajua kisa ni uchawi yasemekana!!katoto kashirikina balaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3]usinambie humjuii!au hukua mjini kipindi hiko au ulikua bado shule wasoma!CK jamani alivotesa na Wema mpk anakodiwa private jet anaenda kula bats Arusha....Wema anamtia vibao meneja wa hotel hadharani...!!Wema mpk akaanza kuitwa madame!!!Weee hapana chezea CK kwa wema
Nyumba ya 270mils,kumbe kapangaa!!!hapana wema amekula nchi jamani[emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji3][emoji16][emoji16]hatasahau yaani wema Leo wa kukaaa mbagala kuu huko ndani ndani![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!!
Masikini mtamuua na stress mwenzenu, kama ndo hivyo hatafika uzee soon atapigwa stress za r.i.p kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Hata cha kumkuna pesa tu na ustaaa mjini baasi na hivi hana nyotaaa,alikua anatembelea vibe la wasafi!!![emoji3][emoji3][emoji3]muache siye tupoo..mnyaki mshamba wa mapenzi yule!!Kabisaaa fahima anaona bora atulie ahudumiwe Vanboi kwa mwanawe anajitahidi sana kuhudumia Hata Fahima amekula sana gudtime ndo maana anapagawa kutemwa na ametemwa kwa ujinga wake..

Unajua kisa ni uchawi yasemekana!!katoto kashirikina balaa
Unajua ujinga wao wanaamin
Akiloga ndo hataachika na ndo wanadanganyana huko kwenye masaloon
Infect wengi wanao det na hawa wasanii
Wadada wengi n washirikina minyama
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Na haji manara ndo wadananda wa mjini ndo maana Mo anaogopa Hata kumuongelea maana akibonyeza kitufe vimeumana then wenzetu wahindi kuzini nje ya ndoa daaahh!ni bonge la kashfa !
Tatzo la manara ndo hlo ukimdip
Anakupgia direct na Hana siri

Manara n wa kusema jez ya Simba
Imechafuliwa na matanagazo ya mo
Kama jez za sudani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hakuna Hata cha kumkuna pesa tu na ustaaa mjini baasi na hivi hana nyotaaa,alikua anatembelea vibe la wasafi!!![emoji3][emoji3][emoji3]muache siye tupoo..mnyaki mshamba wa mapenzi yule!!Kabisaaa fahima anaona bora atulie ahudumiwe Vanboi kwa mwanawe anajitahidi sana kuhudumia Hata Fahima amekula sana gudtime ndo maana anapagawa kutemwa na ametemwa kwa ujinga wake..

Unajua kisa ni uchawi yasemekana!!katoto kashirikina balaa
Ray mnyiha huyo, dogo anaringa kama binti vile, sipendi hata kazi yake, akitoka wasafi nafikiri atakuwa kama Hbaba tu
 
Kabisaaa yaani Wolper ni mtu wa show off ila hana lolote shoga yulee anabeba begi zimaa anaenda fotoshoot anapiga picha na nguo kama 30 hivi...!!!!halafu anaposti nusu nusu miezi mi3[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!kumbe zimepigwa siku moja!!!
Kazi wanayo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom