Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kabisaaa Yaani ila yeye akiguswa anavolalamika mbwa yule hanaga mfanoo!!anajua siri za watu na za kwake zinajulikana mbona!wanamstahi tuu...
Ila ni mshenzi tu!ila kwa sasa anakoelekea ya kwake yooote yatakaa hadharani

Anapenda sana kufichua siri za wenziwe
Manara hutumia ulemavu wake ka excuse ya kuzalilisha wengine, yeye akiguswa ndo anajua kuumia wengine hapana
 
Alaf wakija public kujifanya swala 5 na ulokole
Mwingi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wanaafiki mnooo!kuna chimbo lao moja nna chawa wao lipo kuelekea nyuzi 180 za nchi yetu!wadada wanaendaga Sanaa!hii nchi watu wanga jamani kaaah!Mimi sijaona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!ila ukiwakuta wanavomtukuza Mungu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]siku ya mwishoo kuna kaazi kuubwa!
 
Manara hutumia ulemavu wake ka excuse ya kuzalilisha wengine, yeye akiguswa ndo anajua kuumia wengine hapana
Exactly Yaani anapenda sana kutumia udhaifu wake, akiguswa lakini ni mkorofi mnooo!!!msumbufu haswaaa!!!na anakera sana baasi tu ila yeye ndo mkamilifu
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawa matajir Kwan wanamaana
Bas ndo wanataka hawa bongoland
Maana wanaenda nao kwampalange
Vzur kwakua pesa ipo wanajua hawakatai

Yani mtu Kama Gigi umuwekee
Dau kwampalange anakataaje sasa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wadada wa bongo movie bureee kabisaaa!kuna huko kwa mpalange wao ni wewe staili gani wataka kwao sio kuombwa ni kawaida!
 
Ng'ombe kabisaaa wanaafiki mnooo!kuna chimbo lao moja nna chawa wao lipo kuelekea nyuzi 180 za nchi yetu!wadada wanaendaga Sanaa!hii nchi watu wanga jamani kaaah!Mimi sijaona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!ila ukiwakuta wanavomtukuza Mungu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]siku ya mwishoo kuna kaazi kuubwa!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa

Nchi Ile wanaweka kisingizio cha colabo
Yaaani na colabo yenyewe unaskia subir
Inamaliziwa miaka naenda rud[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa

Nchi Ile wanaweka kisingizio cha colabo
Yaaani na colabo yenyewe unaskia subir
Inamaliziwa miaka naenda rud[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaaaa!mpk yesu arudi
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawa matajir Kwan wanamaana
Bas ndo wanataka hawa bongoland
Maana wanaenda nao kwampalange
Vzur kwakua pesa ipo wanajua hawakatai

Yani mtu Kama Gigi umuwekee
Dau kwampalange anakataaje sasa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]umeona eeh wasanii njaa Kali hakunyimi ng'o
 
Exactly Yaani anapenda sana kutumia udhaifu wake albinism akiguswa lakini ni mkorofi mnooo!!!msumbufu haswaaa!!!na anakera sana baasi tu ila yeye ndo mkamilifu
Soon atapoteza relevance yake huyu.

Kuna na mwingine naye alikuwa mkorofi na ana mahasira huyo na mkorofi kisa hali yake huea najiuliza huko vichwani huwa kuna wadudu huwapanda na kuwaumiza wengine makusudi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom