Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Wema anajuta kukata utumbo alidhani kukata utumbo simba atamrudia kumbe ndo kajimalizaa...mondi hana ht mdaa!halafu ujue Uwoya kaenda ongeza lips?!! Na kingine kafanya surgery sura kaivutaa...

Mwenzenu mbeaaaa...chaaaa!ntasutwaaaaaaaaaaa!!!
Wachaaaa
 
Asee jana shemeji yako kanichimbia chimbo fulani tukawa tunagida ulabuu...kichwa kikapata moto jf nikaishut down
Nilijua tu wikiendi hyoooo!!!halafu nimekumbuka mmemtaja Tessy chocolate daahh!nilitajiwa sponsa wake nimemsaha!looooh!!whyyyy??!![emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
We noma kama ulikuwepo vile...full kugida maji ya mende mpaka yanikome

Jana ilikuwa balaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji16]
Watoto wa mjini tunawajua nyie!mwendo wa maji ya gold tuuu....mpk kielewekee!!!!!hahahahhah!maisha mafupiii enjoiiiiiiii!!!!!!
 
Anakwambia " kuk with Wema sepetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Hana maajabu dadaa!hivi wajua it was serious ishu ya pango ndo akaanza kufanya matangazo!

Wema kampani zinamharibu umbea huu inabidi ntoe nusu nusu kwanza..

Dahh!nafsi inauma kulisahau danga la Tessy miye mwee!!
Woiiiii !nshalikumbukaaa...

Yarrabi tobaaaaaa!!!nna raha ajabu!
 
Hana maajabu dadaa!hivi wajua it was serious ishu ya pango ndo akaanza kufanya matangazo!

Wema kampani zinamharibu umbea huu inabidi ntoe nusu nusu kwanza..

Dahh!nafsi inauma kulisahau danga la Tessy miye mwee!!
Woiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!nshalikumbukaaa...

Yarrabi tobaaaaaa!!!nna raja ajabu!
Hivi Tessy analiwa na mkubwa gani? Mrembo sana
 
[emoji23][emoji23]vera hana sura nzuri kivile licha ya kujitutumia had kujichubua lakini wapi, sasa katafta kibeten ili kimpatie cute baby na mimi namuombea awe cute tu maana anahangaika sana
Wadada wa mjini hovyoo sanaa Yaani hawajui mtoto anachukua sura mbili

Kuna Miss world anaitwa aishwarya rai(unaambiwaa according to miss world committee ndo miss mwenyee vigezo vyote kuwahi kutokea duniani)anatoka India,sasa kaolewa na abhishek bachan nae handsome balaaaa..

[emoji52][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wana katoto kao kanaitwa aaradhya ka kawaida mnooo!!Yaani Hata lips za mama ake hajabeba!

Waache wakariri tuuu!watakuja kutafuta mchawi wamkose Mungu fundiii!
 
Hana maajabu dadaa!hivi wajua it was serious ishu ya pango ndo akaanza kufanya matangazo!

Wema kampani zinamharibu umbea huu inabidi ntoe nusu nusu kwanza..

Dahh!nafsi inauma kulisahau danga la Tessy miye mwee!!
Woiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!nshalikumbukaaa...

Yarrabi tobaaaaaa!!!nna raja ajabu!
Hivi Hilo danga la tessy alilomuibia uwoya bado lipo?
 
Wapendwa nimesoma comments hadi hapa ila hizi code mbona ngumu kuliko maisha yangu umbea ni nafasi tafadhali fungueni
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hebu kua serious ina maana wewe hata ramani ya Tanzania huijui?wilaya zetu na viongozo huwajui?!!!Changamsha kichwa bwanaa!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom