Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Wadada wa mjini hovyoo sanaa Yaani hawajui mtoto anachukua sura mbili

Kuna Miss world anaitwa aishwarya rai(unaambiwaa according to miss world committee ndo miss mwenyee vigezo vyote kuwahi kutokea duniani)anatoka India,sasa kaolewa na abhishek bachan nae handsome balaaaa..[emoji52][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wana katoto kao kanaitwa aaradhya ka kawaida mnooo!!Yaani Hata lips za mama ake hajabeba!

Waache wakariri tuuu!watakuja kutafuta mchawi wamkose Mungu fundiii!
Hahaaa wamesahau tu kuhusu biology hawa viumbe
 
Tutakushushia tofali zito kichwani wewe sasa! (Private Massage) Chukua hizo herufi kubwa za mwanzo then,unganisha,soma hiyooooooooo!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Hahaaa wamesahau tu kuhusu biology hawa viumbe
Wadada wa mjini hovyoo sanaa Yaani hawajui mtoto anachukua sura mbili

Kuna Miss world anaitwa aishwarya rai(unaambiwaa according to miss world committee ndo miss mwenyee vigezo vyote kuwahi kutokea duniani)anatoka India,sasa kaolewa na abhishek bachan nae handsome balaaaa..[emoji52][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wana katoto kao kanaitwa aaradhya ka kawaida mnooo!!Yaani Hata lips za mama ake hajabeba!

Waache wakariri tuuu!watakuja kutafuta mchawi wamkose Mungu fundiii!
Wanaume wa kawaida tunafyatua vitu hatari.
Nina binti yangu mrembo nikianza kuwaza kuhusu hii dunia naishia kunyanyua mikono juu. Daah
 
DC alianza na Mzee Machache,sasa unadhani hana?? Anakula mashudu kama kawaida! DC na urembo wote ule,haolewi, wala hazai!

Sasa DC hajawamwagia kweli wasanii wetu, Domo na Ndombolo! Plus yule jamaa mrefu na mwenye sauti kubwa kama anameza kaa la moto
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom