Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
HahhahahaYule jamaa anatumia mjini IG anatumia Id a triple 7 wamjua...?!!ndo danga la tessy kwa sasa...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]naenda oga miye mida ya kulala........!!!!!!!
Nimetoka kapa hapa huyo wa triple seven nani wooi!
 
Kajala amezoea kuhongwa mambo ya kupika hawezi kabisa na Sasa wanaishi kwa stress na madeni imebidi tu paula aanze kudanga wapate kodi
Hivi bado wako sinza pale...anakaa nyumba nzima
 
Mkuu hii ni story au kweli CK kuuza Chips, kwa level alizofika, connection na alikuwa muajiriwa kufulia mpaka huko ngumu.
CK1.jpg
 
Yule alioa dada wa mjini halafu akamfumania ndani kwake ndoa yao hata Xmass mbili hainaa!!mdada anauza vipodozi yeye mwenyewe USO wake una mapele kama wanguu!![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]!!!!!Kaka handsome balaaaa!!!!
Nimetoka kapa hapa huyo wa triple seven nani wooi!
Mwenye trpple 7?
Hapana sio mmiliki wa triple 7
Labda mmiliki wa Triple7
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom