cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kweli wengi wanaitana na kusoma kimya kimya na kumumunya ubuyuMnooo!watu wanapenda sana ubuyu yaani viwaz wengi means wanaitana tuu!wengine wanasoma kimya kimya!ukute na wenyewe wanasoma!
Sent using Jamii Forums mobile app