Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Akileta kiherehere analiwa kichwaa tuuu!na kale katoto kamefanana na mzee wa bagawise bwanaaa Jana ilibidi nirudi kucheki sura zimetambaa mle mlee

Sent using Jamii Forums mobile app
Imenibidi nizame kwenye jamuhuri ya wakuda kumsaka dogo maana nilikuwa simjui ila kwa jinsi kalivyo nimedhihirisha kweli wa Msoga Empire. Inaonekana pia lile fungu la ustawi anapata mgao mzuri 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu kuna siku kajitutumua kupost jipost reeeefu eti she is comfortable, hajisikii sijui vibaya kuwa na watoto wa baba tofauti..... akaanza kupambwa na wenzie kina mama jujuju
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kujitia ujingaa tu
 
Kuna pi's ako nayo Kwa sasa nfkir n kama
Wote wako line moja
Ile manta ya ki arachuga😂 naskia ni ya ki shizzo kwao hela ipo so dogo janja anakula gentle slope aka 45’ degrees kitowngerni!

Sema kwa hali ilivyo lazima wote watakuwa washakula vyeti vya CTC!
 
Ile manta ya ki arachuga[emoji23] naskia ni ya ki shizzo kwao hela ipo so dogo janja anakula gentle slope aka 45’ degrees kitowngerni!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sasa Kwa matanuz yote Yale
Wanayokula manta ndo alasababisha
Mpango mzma

Ila bongo muvi mix bongo
Fleva Ben10 wa huko wameamua
Hawak kuchoka
Kitonga kwao kuteremka Tu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sasa Kwa matanuz yote Yale
Wanayokula manta ndo alasababisha
Mpango mzma

Ila bongo muvi mix bongo
Fleva Ben10 wa huko wameamua
Hawak kuchoka
Kitonga kwao kuteremka Tu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Eeh manz kuna mahali atakuwa analokota pesa. Sio swala la kizembe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom