Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Daah huyo initial ya dijeu ujue aliambiwaga aache kazi pale mawinguni akafunguliwa duka kubwa la nguo na mtoto juu wa kiume na yule tajiri wa usafirishaji mwenye jina la maombi sema ndo hvyo demu wa kitelephoni akamnyakua na tatoo ya jina lake akachora chezea nyakunyaku wa mji
Tajiri mtata sarahh
 
[emoji28][emoji28][emoji28]..mkuu mpaka natamani kukujua adi hii unayo,,..
Hii story kubwa sana ilala na wat wengi wanaifahamu,,.
Ila yule mtu anaheshmika sana maeneo haya,,
Watu wakafunika kombe mwanaharam apite,,
Hilo tukio lilitokea kwao kbsa ilikua balaa kubwa skuiyo.
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38]mi mtoto wa mjini born here here kwetu buguruni malapa hapoo!!magari ya mji mzima unayapata...!!!kariakoo kwa mguu unafika,posta nafata njia ya reli tu[emoji2][emoji2][emoji38][emoji28][emoji28]nyuma nyuma....nshatimbaa!!!
Naijua mdaa inafika hata miaka 6 inapita [emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mlokole jina huwa anauza unga long time tu ndio maana ana hela za kuchezea. Urafiki wao sijui ulikufaje kufaje aisee.
Dear umesikia ubuyu wa price breaker na b kumi na mbili huko?
Yaani nimechoka kabisaaa aiseee dunia ina mambo hii sijui kituo kinachofuata ni kipi nishuke[emoji51][emoji51][emoji51]
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38]mi mtoto wa mjini born here here kwetu buguruni malapa hapoo!!magari ya mji mzima unayapata...!!!kariakoo kwa mguu unafika,posta nafata njia ya reli tu[emoji2][emoji2][emoji38][emoji28][emoji28]nyuma nyuma....nshatimbaa!!!
Naijua mdaa inafika hata miaka 6 inapita [emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa teacher wewe[emoji38]
 
Yule wa wanawake na maendeleo,kumbe alishawahi taka kunywa sumu afe,Jana nimemsikia alikua live kwenye kipindi cha Three Sixty,pale mawinguni! Ohhh sasa hivi,naendesha gari zuri,nalala vizuri,nakula chakula kizuri,naenda Nchi yoyote nitakayo mda wowote! Kwa hiyo usikate tamaa!Maneno yake! Motivation speaker
Kauza Sanaaa na hilo kasemaa?!!

Wasituchoshe kama kina Jiko La wazi...wamefanya upundaa na kukoboana sasa hivi wameokoka!!wamekua motivational spikaz!!na mbulu muuza dawa za kupungua ye mwili temboo!wamekua mapunda mpk wamegombana wamedhulumiana nawadaiz wanajifanya walokole...ptuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mlokole jina huwa anauza unga long time tu ndio maana ana hela za kuchezea. Urafiki wao sijui ulikufaje kufaje aisee.
Dear umesikia ubuyu wa price breaker na b kumi na mbili huko?
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji38][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2]nyie hebu hukooo mi simoo[emoji85][emoji85][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah huyo initial ya dijeu ujue aliambiwaga aache kazi pale mawinguni akafunguliwa duka kubwa la nguo na mtoto juu wa kiume na yule tajiri wa usafirishaji mwenye jina la maombi sema ndo hvyo demu wa kitelephoni akamnyakua na tatoo ya jina lake akachora chezea nyakunyaku wa mji
Daahhh!!!mjini ukimwi unazungukaaa...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mlokole jina huwa anauza unga long time tu ndio maana ana hela za kuchezea. Urafiki wao sijui ulikufaje kufaje aisee.
Dear umesikia ubuyu wa price breaker na b kumi na mbili huko?
Ila huyu kumi na mbili anaga hizo mishe Sema watu wanamuongelea tu vibaya
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38]mi mtoto wa mjini born here here kwetu buguruni malapa hapoo!!magari ya mji mzima unayapata...!!!kariakoo kwa mguu unafika,posta nafata njia ya reli tu[emoji2][emoji2][emoji38][emoji28][emoji28]nyuma nyuma....nshatimbaa!!!
Naijua mdaa inafika hata miaka 6 inapita [emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅..kweli kbsa mkuu ina miaka kama 6,7 nyyma uko sahihi kabisa..
Tunamheshm t ndugu yetu kombe likafunikwa mwanaharam akapita
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom