Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Umeonaa eee mahanjumati si mchezo [emoji39][emoji39][emoji39], sifa zimfikie huko aliko pumzika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli abarikiwe Sana Sana
Na hongera Kwa kua mtiifu
Na mtekelezaj Kwa kila ulichoelezwa
Hukua jeur[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Leo nayaona matunda ngoja
Nipambanie yawe yangu ya milele
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hivi kwa hiyo bado anaendelea au ndo aliweka akiba..sio kwa baecation zile kwa biashara ya kitimoto na vipodozi tu [emoji848]
Ikishafunguliwa hvo Inafumba
Macho yaliyochin ya kapet
Yanazid kujoficha ndo tuamin biashara
Inalipa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom