Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Jamani semaji la dunia ndoa yake Chali, shida huwa ni mkorofi wa kupiga wanawake plus milupo ka yote na kutumia Hali yake na mdomo wake too much.@instagram reymage usser
Screenshot_20210928-134947_1.jpg
 
Hiii iko uku kwetu tz Hapo kenya jirani zetu baada ya 32 ndio umri wa mabinti kuanza kutafuta family ila huku sasa ufike 28 bado unaonekana vp sijui watu wabadilike mfumo wa maisha ya utafutaji kwa wanawake ndio umechangia vyote ivyo.
Ujinga mwingi na unafiki na hata wenye ndoa ndio malaya wakubwa
 
Mkuu wewe mbishi unalinganishaje dada wa mjini anayekaa kwa ac na yule wa kijini anayexalishwa daily, hafu hyo ya joketi sio issue sana kila binadamu anakua so kubagua mtu kisa age na kumlaumu not fair flani
Ubishi wangu upi? au labda kutofautiana na ww ni kosa, mimi naongea nilicho kiona na kukiishi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahv atafute mwanaume atulie, wanawake hawawezi. Lol
Hahaaa atakuwa ana shida ajirekebishe yeye tu ndo huwa anakosewa na kuonea ila yeye hakwazi, na hao wanaume yupi atakuwa naye my dear jinsi ana mdomo hivo
 
Jamani semaji la dunia ndoa yake Chali, shida huwa ni mkorofi wa kupiga wanawake plus milupo ka yote na kutumia Hali yake na mdomo wake too much.@instagram reymage usser View attachment 1956000
Kwa kumbukumbu semaji hii ndoa yake ya tatu chali.
Mimi kila siku nasema mwanaume mkaa kwenye mkeka, msikiliza taarabu na vipindi vya kina Dida hafai.
Lazima ndoa imshinde
 
Kwa kumbukumbu semaji hii ndoa yake ya tatu chali.
Mimi kila siku nasema mwanaume mkaa kwenye mkeka, msikiliza taarabu na vipindi vya kina Dida hafai.
Lazima ndoa imshinde
Hafu mbaya zaidi naskia anapiga wake na huu umaarufu ana michepuko tele, plus mdomo woooi
 
Hahaaa atakuwa ana shida ajirekebishe yeye tu ndo huwa anakosewa na kuonea ila yeye hakwazi, na hao wanaume yupi atakuwa naye my dear jinsi ana mdomo hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu akutane na dulvan watawezana sana.
 
Kwa kumbukumbu semaji hii ndoa yake ya tatu chali.
Mimi kila siku nasema mwanaume mkaa kwenye mkeka, msikiliza taarabu na vipindi vya kina Dida hafai.
Lazima ndoa imshinde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv umewaza nn lakini auntie?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahv atafute mwanaume atulie, wanawake hawawezi. Lol
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]loohh!
 
Kwa kumbukumbu semaji hii ndoa yake ya tatu chali.
Mimi kila siku nasema mwanaume mkaa kwenye mkeka, msikiliza taarabu na vipindi vya kina Dida hafai.
Lazima ndoa imshinde
Uko sahihii!kabisaa...yule bwana yataka moyo kukaa naye ni kipaji haswaa!ana mdomo na vile alivyo na umaarufu wake analeta hadi ndani yaani anaona kwa vile ni maarufu wanawake hawambabaishi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom