LT. J P Mwambashi kuwa kiongozi wa mbio za Mwenge

LT. J P Mwambashi kuwa kiongozi wa mbio za Mwenge

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Wakuu hasa wale wenye ujuzi na mambo ya kijeshi, nisaidie hili. Ninavyo fahamu mimi kijeshi huwezi kuwa kuongozi kikundi cha kijeshi chenye wanajeshi wenye cheo zaidi yako.

Kikindi hiki cha wakimbiza mwenge kina wanajeshi kama wawili wenye rank ya Captain. Lakini kiongozi wao no. LT JP Mwambashi. Imekaaje hii!!!!
 
Wakuu hasa wale wenye ujuzi na mambo ya kijeshi, nisaidie hili. Ninavyo fahamu mimi kijeshi huwezi kuwa kuongozi kikundi cha kijeshi chenye wanajeshi wenye cheo zaidi yako. Kikindi hiki cha wakimbiza mwenge kina wanajeshi kama wawili wenye rank ya Captain. Lakini kiongozi wao no. LT JP Mwambashi. Imekaaje hii!!!!
Hao Ma Captain ni nani wataje kwa majina nao!
 
Daaaah hili taifa ni la watu wa ovyo kabisa. Je asipo kimbiza HAFI? Ataishi milele tu
 
Hivi hili zindiko litakwisha lini??
Walimu mjiandae michango!
Miradi ya komedi za mwenge ikae tayari.

Everyday is Saturday............................... 😎
we si umeona liliachwa kama miaka miwili kilichotokea nchi inamazito hii
 
Kwani kukimbiza mwenge ni shughuli ya kijeshi , izingatiwe inatokea akati mwingine makamanda wakapewa task zingine za kijamii na wakawa wa rank mbalimbali ,ple kinachozingatiwa Tena si cheo bali weredi na uzoefu wa mtu kua senior wa kazi hio.Mifano mizuri tizama airports zetu security officers wengi ni askari ila unaweza mkuta private akawa ndio head wa security ilhali pale kuna ma chalii papa lima kibao( koplo) ata pia masajenti
 
Na pia zingatia hapo watu uliowataja wote wako rank moja ukigawa yale makundi mawili ya maafisa ,yaani maafisa wadogo kuanzia luteni usu( nyotamoja) mpka captain (nyota 3) huyo Limatango ( luten kuongoza apo isikutishe).kama una swali uzuri
 
Ninafungua BAR hapa UBENA ZOMOZI mwenge utakuja kuzindua. Siku hiyo pombe nitauza nusu bei.
 
Ninafungua BAR hapa UBENA ZOMOZI mwenge utakuja kuzindua. Siku hiyo pombe nitauza nusu bei.
Uzinduzi huo utaendana sambamba kabisa na lori la vinywaji kuanguka katika barabara za njia 3 za mapori ya hifadhi kati ya Mwidu na Ubena Zomozi😂!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Uzinduzi huo utaendana sambamba kabisa na lori la vinywaji kuanguka katika barabara za njia 3 za mapori ya hifadhi kati ya Mwidu na Ubena Zomozi[emoji23]!

Everyday is Saturday............................... 😎
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom