Hao Ma Captain ni nani wataje kwa majina nao!Wakuu hasa wale wenye ujuzi na mambo ya kijeshi, nisaidie hili. Ninavyo fahamu mimi kijeshi huwezi kuwa kuongozi kikundi cha kijeshi chenye wanajeshi wenye cheo zaidi yako. Kikindi hiki cha wakimbiza mwenge kina wanajeshi kama wawili wenye rank ya Captain. Lakini kiongozi wao no. LT JP Mwambashi. Imekaaje hii!!!!
we si umeona liliachwa kama miaka miwili kilichotokea nchi inamazito hiiHivi hili zindiko litakwisha lini??
Walimu mjiandae michango!
Miradi ya komedi za mwenge ikae tayari.
Everyday is Saturday............................... 😎
Na ukidharau na kuhairisha mbio unakufa pia.Ukikimbiza mwenge lazima ufe
Bwashee kuna vijana Mwenge wanauita " baba "
Nyamlunda!Ukikimbiza mwenge lazima ufe
Kufa ni lazima mkuu...au unamaanisha nini? Hebu fafanua.Ukikimbiza mwenge lazima ufe
Uzinduzi huo utaendana sambamba kabisa na lori la vinywaji kuanguka katika barabara za njia 3 za mapori ya hifadhi kati ya Mwidu na Ubena Zomozi😂!Ninafungua BAR hapa UBENA ZOMOZI mwenge utakuja kuzindua. Siku hiyo pombe nitauza nusu bei.
Ha ha haUzinduzi huo utaendana sambamba kabisa na lori la vinywaji kuanguka katika barabara za njia 3 za mapori ya hifadhi kati ya Mwidu na Ubena Zomozi[emoji23]!
Everyday is Saturday............................... 😎
sawa afande wa kizukaNinafungua BAR hapa UBENA ZOMOZI mwenge utakuja kuzindua. Siku hiyo pombe nitauza nusu bei.