Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu zao na kuzichoma, enzi hizo ukiwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo.
Umepewa nondo feki na wafanyabiashara ili ukamchafue, Bashe yuko smart sana bro, sisi tuliokuwa uraiani tunajua katika serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mawaziri wanaopendwa na wananchi ni Bashe, Awesu, Silaa.Hawa bwana wameonyesha kuzimudu sana nafasi hizo, they are very professional.
Bashe alipotoa ufafanuzi bungeni kuhusu sukari najua wafanyabiashara mafisadi walikufuata na wakakupa data za mchongo ukazifyatue bila kufanya uchambuzi, hao wafanyabiashara waliokupa hiyo habari kuwa kampuni feki zimepewa tenda ya sukari kinyume cha utaratibu wamekupoteza.
Kiufupi umeyatimba, umefutwa kabisa katika ramani ya siasa kwa utoto ulioufanya.
Sisi tumeteseka sana na suala la sukari, tulikuwa tunanunua sukari kwa kilo efu 10, wafanyakazi waliopewa vibali vya kuingiza hawakuingiza kama serikali ilivyowataka, hata kama kampuni ya kubeba mabetri ilipewa kazi ya kuleta serikali mimi kwangu nilikuwa naona sawa tu.
Najua wapo baadhi ya wafanyabiashara wanaoshirikiana na wanasiasa hawapendezwi na mafanikio ya serikali hii ya awamj ya sita ukiwemo wewe.
Kwani Mpina mbona ulikuwa na platform nyingi tu za kuaddress suala hilo kuliko utoto ulioufanya wa kuita vyombo vya habari ukijifanya kuongea kwa kujiamini na suti yako hiyo kama gofu la Kilwa Songo Mnara.
Muda c mrefu bro Bunge litakuzawadia zawadi nzuuuuri